Mosha ni ngumi kwa kwenda mbele kila kukicha...nadhani he is behind ManjiSio Manji tu ni wakati muafaka kwa Nchunga,Mosha na uongozi wote kujiuzulu ,sijaona walichofanya zaidi ya kuleta migogoro tangu waingie madarakani
Mkuu umefatilia sakata lenyewe lakini?...je huoni anachokifanya Mchunga?, Mimi siyo Yanga ila madai ya Mchunga ninayaunga mkono kwa 100%...wachezaji wamesajiliwa kwa mil 2 lakini kwa mfadhili ni mil 8, huu si wizi wa wazi wazi, wanaambiwa wafanye mahesabu wanaanza majungu ohh anaingawa timu aondoke, sakata la mchunga nalifananisha na kilichomkuta Michael Wambura alipo kuwa mwenyekiti wa muda pale Simba walimfanyia fitina pale tu alipoanza kuhoji mali za Simba na kuanza kuzifatilia mikataba yote inayohusu mali za Club, Friends of simba walimsakama na walifanikiwa kumuondoa...Sio Manji tu ni wakati muafaka kwa Nchunga,Mosha na uongozi wote kujiuzulu ,sijaona walichofanya zaidi ya kuleta migogoro tangu waingie madarakani
Walichoniboa wameikuta timu iko vizuri,wakagombana na kocha mpaka ameondoka kaikati ya msimu kama Papic ndio alikuwa anaotoa hela kusajili wachezaji,viongozi wa Simba na Yanga hakuna wanalofanya zaidi ya kutengeneza network ili mambo yao yawe sawa.Huyu Manji anadhani kutoa fedha ndio suluhisho ,anakurupuka kutoa hela na anasahau kuweka usimamizi wa fedha ,wabongo kwenye fedha ni balaa amuulize mwenzie KajumuloMkuu umefatilia sakata lenyewe lakini?...je huoni anachokifanya Mchunga?, Mimi siyo Yanga ila madai ya Mchunga ninayaunga mkono kwa 100%...wachezaji wamesajiliwa kwa mil 2 lakini kwa mfadhili ni mil 8, huu si wizi wa wazi wazi, wanaambiwa wafanye mahesabu wanaanza majungu ohh anaingawa timu aondoke, sakata la mchunga nalifananisha na kilichomkuta Michael Wambura alipo kuwa mwenyekiti wa muda pale Simba walimfanyia fitina pale tu alipoanza kuhoji mali za Simba na kuanza kuzifatilia mikataba yote inayohusu mali za Club, Friends of simba walimsakama na walifanikiwa kumuondoa...
Kweli kabisa, namna walivyokuwa wanamsifia Manji wanaonekana kabisa wamenunuliwa!Hao wa kununuliwa mkuu
Kweli bila manji yanga inawezekana ni wajibu wa viongozi kuwa na muongozo wa wafadhili wanaolenga kuifanya yanga kujitegemea sio kuifanya koloni na kijiwe cha kujisafisha na kuzoa umaarufu kwa wananchi by the way gadi oneya are you shycomist?good day.na hasa kipindi hiki ambacho Yanga inafanya vibaya atawapata sana
wapo wakina mosha pale wanawaongoza hao fuata upepoKweli kabisa, namna walivyokuwa wanamsifia Manji wanaonekana kabisa wamenunuliwa!
HelloWalikuwepo kama yeye na wakaiacha yanga. Bila yeye inawezekana kabisa!
Manji kapata umarufu kupitia yanaga alikuwa nani before kujiattach na yanga.
Aishukuru yanga kumfikisha hapo.