Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,361
- 2,378
Manji kujiuzulu Yanga?
tetesi zilizozagaa zinasema huyu mdosi kajiuzulu ufadhili yanga..wachambuzi wa mambo wanaona ni janja ya nyani,ataorganise group iandamane kudai arudishwe na kuonyesha kwamba anapendwa sana.
wanayanga jiulizeni kwani bila Manji Yanga haiwezekani?