MrKanteChelsea JF-Expert Member Joined May 12, 2019 Posts 203 Reaction score 237 Apr 13, 2022 #2 nyimbo imeegemea mlengo wake wa dini so haina maana
Puna JF-Expert Member Joined Oct 9, 2013 Posts 2,551 Reaction score 4,454 Apr 13, 2022 #3 MrKanteChelsea said: nyimbo imeegemea mlengo wake wa dini so haina maana Click to expand... Na wewe umeitafsiri kwa mlengo wako wa kidini.
MrKanteChelsea said: nyimbo imeegemea mlengo wake wa dini so haina maana Click to expand... Na wewe umeitafsiri kwa mlengo wako wa kidini.
Tuna JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 1,267 Reaction score 1,643 Apr 14, 2022 #4 Bila Marekani Dunia ingekuwa sehemu Salama
MrKanteChelsea JF-Expert Member Joined May 12, 2019 Posts 203 Reaction score 237 Apr 15, 2022 #5 k Fiati said: Na wewe umeitafsiri kwa mlengo wako wa kidini. Click to expand... bali maoni kma uliona unamajibu umemwekea nani ajidili hakuna kitu
k Fiati said: Na wewe umeitafsiri kwa mlengo wako wa kidini. Click to expand... bali maoni kma uliona unamajibu umemwekea nani ajidili hakuna kitu
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Apr 15, 2022 #6 Bila ya Marekani na Israel, hakika duniani pangekuwa ni mahali salama kabisa pa kuishi. Kukweli haya Mataifa mawili yamekaa kishari shari tu.
Bila ya Marekani na Israel, hakika duniani pangekuwa ni mahali salama kabisa pa kuishi. Kukweli haya Mataifa mawili yamekaa kishari shari tu.