Bila Mbowe mbona Chadema itajifia!

Bila Mbowe mbona Chadema itajifia!

Hoja nyepesi na dhaifu.

March 2020 nusura afungwe wabangaizaji wakamchangia milion 70 akatolewa.

2021-2022 wabangaizaji wakapaza sauti hadi akaachiwa akawasaliti kwa kulamba asali

Ni ajabu kusema mtu amekipigania chama wakati alikaribia kufungwa, angekipigania chama gerezani?

Wanachama wanapotea yeye kawa mpole, chama kimepoteza wabunge 2020 bado anakubali kushiriki ushenzi wa Mchengerwa November 2024 hapo bado hamuoni Mbowe kagota kimbinu?

Na ingetokea kafungwa chama kingekufa?
 
Back
Top Bottom