Bila mfumo wa demokrasia wote hata CCM tunaenda chini

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Sababu hizi.

1. Upinzani wa sasa sio wa vyama bali ni wananchi
2. Hakuna ajira kwa vijana
3. Rushwa imekomaa sana Tanzania hasa kwa viongozi wa juu
4. Tanganyika na Zanzibar zimerudi na zinapigana na Tanzania
5. Wachina na UAE hizi nchi mbili zitatuzamisha kabisa
6. Utekaji
7. Uhuru wa vyombo vya habari hakuna
8. Katiba mbaya
9. Mapigano ndani ya CCM
10. Kunyanyasa Chadema
11. Utekaji na mauaji.
12. Rais asiye pendwa na aliyeshinda kwa wizi wa kura

Bila wote kukubaliana na kwenda kwenye demokrasia nchi inaenda kupasuka msije kusema mimi ni nabii!!!! tuna miaka miwili tu hapa save hii post kama hakuna mabadiliko
 
ok.
endelea kuota na kupiga ramli 🐒
 
kupanda kwa gharama za maisha
 
Back
Top Bottom