Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Ahadi za CCM na rais kuhusu huduma bure za Afya, kuruhusu maiti, kununua matrekta nk ni ahadi nzuri sana. Lakini ahadi zote hazina maneno kwa namna gani tutapata fedha za kuweza kuwezesha ahadi zote hizi. Aidha ahadi ya kuepuka kupunguza mikopo mikubwa ya nje, inaenda kuwa supported na nini, kupunguza matumizi ya serikali au kuongeza maoato ya serikali.
Natamani kupata mdahalo na hawa wagombea ili tuulizane kuhusu mikakati.
Ni mwongo na mkopaji na fisadi na kuua tu hana lingine. Mpaka sasa kuna mradi kaasisi yeye ..? Na sera zake kuna maono kweli..?Ahadi za CCM na rais kuhusu huduma bure za Afya, kuruhusu maiti, kununua matrekta nk ni ahadi nzuri sana. Lakini ahadi zote hazina maneno kwa namna gani tutapata fedha za kuweza kuwezesha ahadi zote hizi. Aidha ahadi ya kuepuka kupunguza mikopo mikubwa ya nje, inaenda kuwa supported na nini, kupunguza matumizi ya serikali au kuongeza maoato ya serikali.
Natamani kupata mdahalo na hawa wagombea ili tuulizane kuhusu mikakati.
Mapato ni shida kubwa sana. Inashauriwa nchi inayoendelea kukusanya walau 15% ya GDP, sisi tunakusanya less than 14%, nenda kaangalie ukurasa wa mwisho wa bajeti ya serikali utaona hiyo tax to GDP ratioMapato ?!!!! Tangu lini shida ya hii nchi ikawa mapato na sio matumizi au ufujaji...
Iwapo tunapunguza Utoaji Huduma (kubinafsisha); kwanini Kodi hazipungui? Je, tunaongeza kumbana Mwananchi ili kutoa (huduma) gani?
Kodi ni muhimu sana ili kufadhili shughuli za serikali, huduma kwa umma kama vile barabara na mashule, Usalama wa Jamii, Afya na Mengineyo. Sasa kama hata hayo kuanzia Elimu (Mikopo na Shule Binafsi); Afya tuna BIMA ya Afya na kulipia Private; Kuhakikisha wafanyakazi wanalipwa ujira stahiki...www.jamiiforums.com
Kodi za Mapato: Kabla hatujawaza kuzidi kukamuana, tuangalie kuziba Pakacha
Kuna Notion kwamba Watu hawalipi Kodi, na bila kuongeza vyanzo kwa kuwakamua zaidi Nchi haiwezi kuendelea... Kwanza kabisa sio kweli kwamba watu hawalipi Kodi; kila mtu analipa Kodi indirectly na kutokana na vyanzo vyetu na Tozo tunaweza kuendesha nchi hata bila Kodi ya Mapato; Nikitoa...www.jamiiforums.com
Tunashauriwa na nani na zinakusanywa ili zifanye nini ? Kama tunakusanya asilimia moja na tunatumia yote kwa maisha ya mwananchi it is all good kama tunakusanywa asilimia 100 na yote inatafunwa hakuna sababu hata ya kuikusanya bora tuwaachie hao mafukara waitumie (as hakuna msaada tunaowapa)Mapato ni shida kubwa sana. Inashauriwa nchi inayoendelea kukusanya walau 15% ya GDP, sisi tunakusanya less than 14%, nenda kaangalie ukurasa wa mwisho wa bajeti ya serikali utaona hiyo tax to GDP ratio
Wanaoshauri kuhusu kiwango cha kodi cha kukusanya ni IMF, Tax to GDP ratio ni kama gauge ya kujua uko vizuri kiasi gani kwenye kukusanya mapato yako.Tunashauriwa na nani na zinakusanywa ili zifanye nini ? Kama tunakusanya asilimia moja na tunatumia yote kwa maisha ya mwananchi it is all good kama tunakusanywa asilimia 100 na yote inatafunwa hakuna sababu hata ya kuikusanya bora tuwaachie hao mafukara waitumie (as hakuna msaada tunaowapa)
Ustawi wa Jamii; A Penny Saved is a Penny Earned; Serikali inaweza Kumpunguzia Mzigo wa Matumizi Mwananchi hivyo Kumwongezea Kipato cha Kutumia
Maadui wetu hawajawahi Kubadilika Umasikini, Ujinga na Maradhi..., Vilevile Mahitahi Muhimu ya Binadamu hayabadilika (Chakula Malazi na Mavazi); Karne ya sasa ambayo sio kila mtu anaweza kuchukua Jembe na kwenda kulima mihogo na kupata kitoweo Pesa inahitajika. Hii ndio itakupatia mahitaji...www.jamiiforums.com
Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake ikikatika pole yake anatafuta nyingineAhadi za CCM na rais kuhusu huduma bure za Afya, kuruhusu maiti, kununua matrekta nk ni ahadi nzuri sana.
Lakini ahadi zote hazina maneno kwa namna gani tutapata fedha za kuweza kuwezesha ahadi zote hizi. Aidha ahadi ya kuepuka kupunguza mikopo mikubwa ya nje, inaenda kuwa supported na nini, kupunguza matumizi ya serikali au kuongeza maoato ya serikali.
Natamani kupata mdahalo na hawa wagombea ili tuulizane kuhusu mikakati.
Moja ukisikia IMF wanakushauri au wanakwambia ufanye hiki au kile kimbia kilomita za kutosha..., Hivi ulishajiulizaWanaoshauri kuhusu kiwango cha kodi cha kukusanya ni IMF, Tax to GDP ratio ni kama gauge ya kujua uko vizuri kiasi gani kwenye kukusanya mapato yako.
Hayo matumizi yanasaidia nini mbangaizaji ? Hivi unajua ni kiasi gani kinatumika katika ufujaji ? Na sasa hivi unajua ni makusanyo mangapi yanapatikana na kufujwa ?!!! Afrika tatizo kubwa ni moja tu (Ubinafsi na Corruption)Hoja ya kuondoa matumizi yasiyo nalazima iko vyema, lakini je, nani yuko tayari kupunguza matumizi?
Kukusanya kodi vyema hakuna uhusiano na kuongeza tozo. Kuna uboreshaji wa sheria ili kudhibiti ukwepaji kodi, kuna kuondoa misamaha ya kodi isiyo na tija mathalani madini na rasilimali hazihitaji msamaha wa kodi, nkMikakati ni kuongeza tozo tu
Unaweza kuwa unafikiri vyema, lakini jiulize nchi inatengeneza kwa mfano trilioni 400 kama GDP ambapo wewe kama mkusanya kodi unapata trilioni 4 kama kodi ambayo ni 1%. Je utakuwa umekusanya kodi inavyopaswa kwa kuangalia ukubwa wa kinachozalishwa ndani ya nchi yako?Moja ukisikia IMF wanakushauri au wanakwambia ufanye hiki au kile kimbia kilomita za kutosha..., Hivi ulishajiuliza
Kwanini Serikali Ikope Kuendesha Miradi, Wakati inaweza Kutengeneza Pesa ?
Kabla hatujaitana vichaa, kwanza kabisa tukubaliane kwamba ndicho kinachotokea sasa hivi duniani (creating money from thin Air) ingawa ni Benki ndio zinafanya hivyo... Pesa inavyotengezwa na kuongezwa kwenye Mzunguko na Benki Wewe ukienda kuomba mkopo Benki unapewa pesa ambayo Benki haina wala...www.jamiiforums.com
Hayo matumizi yanasaidia nini mbangaizaji ? Hivi unajua ni kiasi gani kinatumika katika ufujaji ? Na sasa hivi unajua ni makusanyo mangapi yanapatikana na kufujwa ?!!! Afrika tatizo kubwa ni moja tu (Ubinafsi na Corruption)
Matumizi yanayofanyika ya hayo makusanyo ni yapi na kuna vyanzo vingapi ambavyo Tanzania inavyo pengie hakuna ? Au nikutajie nchi ambazo hazina hata Income Tax; Unaongelea Tanzania haikusanyi wakati kuna zaidi ya triple taxation yaani hadi ukipoteza kitu kutoa tu report bado unalambwa TOZOUnaweza kuwa unafikiri vyema, lakini jiulize nchi inatengeneza kwa mfano trilioni 400 kama GDP ambapo wewe kama mkusanya kodi unapata trilioni 4 kama kodi ambayo ni 1%. Je utakuwa umekusanya kodi inavyopaswa kwa kuangalia ukubwa wa kinachozalishwa ndani ya nchi yako?
Ni hapo ambapo watu wanapotoka na kuna kitu wanashindwa kufahamu pitia Modern Monetary Theory katika Age ya FIAT Currency...Aidha kuhusu serikali kuchapisha pesa, unaweza kumcheki mtoto wowote wa kidato cha sita wa HGE au EGM anaweza kukuelezea vizuri na kukupa mifano mingi mizuri.
Suala la IMF nimekupa mfano hapo kuhusu GDP ungejikita hapo kuelezea.Matumizi yanayofanyika ya hayo makusanyo ni yapi na kuna vyanzo vingapi ambavyo Tanzania inavyo pengie hakuna ? Au nikutajie nchi ambazo hazina hata Income Tax; Unaongelea Tanzania haikusanyi wakati kuna zaidi ya triple taxation yaani hadi ukipoteza kitu kutoa tu report bado unalambwa TOZO
Ni hapo ambapo watu wanapotoka na kuna kitu wanashindwa kufahamu pitia Modern Monetary Theory katika Age ya FIAT Currency...
Modern Monetary Theory (MMT) is a heterodox economic framework describing how government finances spending in a fiat currency economy. Key tenets include that a sovereign currency-issuing government with a floating exchange rate does not need to tax or borrow before spending, as it can create new money via its central bank. The real constraint on government spending is the capacity of the economy to absorb it without causing inflation, and taxation is the primary tool to control inflation and manage demand.
Kwa ufupi miradi ambayo ni ya ndani inatumia nguvu kazi za ndani kulipa mishahara watu wa ndani kuliko kukopa na kuja kulipa RIBA kupitia huyo huyo mlalahoi unaweza ukaprint hizo CASH na baadae miradi hiyo return yake ikaleta balance kwahio deni likawa ni kama umekopa wananchi wako (wamekukopesha) By the way hata USA iliprint pesa katika ku fadhili vita (Civil Wars) Na sasa hivi inatuchezesha Desi Dunia kwa kufanya hilo hilo (welcome to the Word of FIAT Currency)
By the way ulishajiuliza kwanini JAPAN wana Defeceit kubwa ?!! Ni kwamba badala ya kufuata ushauri wa IMF wa kukopeshwa na kuchukua mikopo ya nje wao walijifadhili wenyewe
In its core mfumo wa FIAT Currency ni MMT..., sasa Zimbwabwe walifanya hivyo ili wafanye nini ? walipane mishahara au kuleta miradi ambayo ingekidhi maisha ya raia na badala ya kukopa ili baadae walipe pesa ni kwamba wanatumia power yao as a Sovereign ili kufanya wanachofanya..., Kumbuka nimesema ni Mradi na Mradi huu ni wa muhimu na lazima ufanyike (choice ukope ili baadae ulipe RIBA au utumie ili baadae wananchi wako walipe through uzalishaji bila RIBA)Suala la IMF nimekupa mfano hapo kuhusu GDP ungejikita hapo kuelezea.
Unapoleta MMT ambayo iko debatable, na unajua kuwa Zimbabwe iliwahi kufanya suala hilo wakaangukia kwenye Hyper inflation.
Keynesian ni controlled economy wakati wengine ni Market forces (hizi zote ni theory) ila uhalisia ni kwamba hata miaka ya Global Crisis ni kwamba kampuni kubwa zikifeli Government always bails them out (kwahio hii inaendelea mpaka kesho)...; Na hili la sasa has got nothing to do with market forces sababu sasa hivi USA anatuchezesha Desi kwa kuweza kutumia Pesa na kuuzia dunia Bonds na mkija kudai ni mwendo wa kuchapisha dola zingine...MMT ni post-Keynesian kama unafahamu huyo Keynes mwenyewe nadharia zake za fedha zilikosa relevance miaka ya 1960 hadi alipokuja later Friedman na kurudisha uchumi kwenye mstari. Now this is a well documented Economic History which I always enjoy reading.
Nani kasema turudi kwenye Gold Standard ? Mimi nimekuuliza kwanini tukope ili kuendesha miradi ya Ndani ? Ukiongelea Zimbabwe na Argentina na Uganda jinsi walivyofanya na pesa zao zikawa hazina thamani hata kutumia kama toilet paper mimi takwambia kuhusu hata USA ilivyotengeneza GreenBacks kwa ajili ya kupigana their civil wars....Kuhusu Fiat money, mimi nitakuuliza unataka kurudi kwenye gold standard?