physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 859
- 1,036
Mkuu algebra ndio kiboko. Hakunaa mada ya hesabu haina algebra, hakuna Fizikia, kemia bila algebra.Kila unachokiona duniani bila ya Muhammad Musa Alkhawarizim(algorithim),Computer science yote inategemea algorithm.Bado hatujamgosa Algebra na Avecina.Kila unachokiona duniani kilichotengenezwa na binadamu,kinatokana na mahesabu ya Algorithm.
View attachment 2859855
Huu ndio ukweli.Bila hawa waislamu,dunia ingekuwa gizani.Mkuu algebra ndio kiboko. Hakunaa mada ya hesabu haina algebra, hakuna Fizikia, kemia bila algebra.
Algebra is the foundition of human civilization.
Zaiifi ya hapo ni namba 0-9. Aka ARABIC numbers. Hizo ndio mIsha kamili.
BIla hao waoslamu,duniz ingekuwa gizani.Kila unachokiona duniani,kilichoyengenezwa na binadamu,kinayokana na ingormation technology(IT),na ITndio hiyo,iliyotokana na mahesabu ya mwanasayansi huyu.Nilitaka kushangaa hv hakuna kobazi mwanasayansi
Hiyo ni kabla ya makobazi. Makobazi yalipoingia, wakavunja taasisi zote. Sayansi na elimu ikaishia hapo. Hawa watu wameirudisha dunia nyuma sana. Ila leo wanajimwambafai na vitu walivyopiga marufuku.Nilitaka kushangaa hv hakuna kobazi mwanasayansi
Mkuu unaweza kuwa kweli. Sisibona hatujakbatia hayo mambo kihile ilamasikini kuliko warabu. Nasikua mwaka 1962 Dubai ilikuwa jangwa na walikuwa masikini wa kutuowa wakiokota tende( maneno ya heche) sasa mbona kila mtu anataka kwenda kuishi dubai au kutembea tu, hivyo vijiwe vya kahawa vimeshindwa kuwafanya wasiendelee kama sisi. Qatar hainna masikini. Iran ipo ktk nchi za kiteknolojia.Ujinga moja tu mliyonao ni kwamba wakati watu hao wanavumbua hizo kanuni uislamu haukuwepo katu na labda ndio maana waliweza kuyafanya hayo.
Shida ilikuja tu pale uislamu ulivyotambulishwa kwenye hiyo karne ya saba na ndipo watu walipolazimishwa kuachana na fikra na mitindo ya maisha waliyokuwa wakienzi na kutakiwa kufuata fikra za mtu aliyedai eti katumwa na Mungu japo bila kutoa ushahidi wowote.
Ghafla jamii ya kiarabu ikaanza kufubaa kwa kulazimishwa kutumia muda wao mwingi sana katika kufanya ibada na kuanza kuwa na tabia za majungu kwa sababu sasa hawakuwa wakijishughulisha na shughuli za kazi kama ilivyo kuwa kabla ya ujio wa Mohammed na matokeo yake jamii ikaanza kupenda kubarizi kwenye vijiwe na kunywa tangawizi.
Huu utamaduni uliyoletwa na Mohammed ambao ndio ulipewa jina la uislamu ndio imesababisha jamii ya kiarabu kupoteza fikra za kivumbuzi ambazo wamekuwa nazo kabla ya ujio wa Mohammed na endepo huyu Mohammed asingekuja basi leo hii waarabu ndio wangekuwa wakiitawala dunia kiuchumi, kijamii, kiutamaduni, kisayansi na hata kimichezo.
Ndiye nani huyo?Kila unachokiona duniani bila ya Muhammad Musa Alkhawarizim(algorithim),Computer science yote inategemea algorithm.Bado hatujamgosa Algebra na Avecina.Kila unachokiona duniani kilichotengenezwa na binadamu,kinatokana na mahesabu ya Algorithm.
View attachment 2859855
Huyu MTU haexistKila unachokiona duniani bila ya Muhammad Musa Alkhawarizim(algorithim),Computer science yote inategemea algorithm.Bado hatujamgosa Algebra na Avecina.Kila unachokiona duniani kilichotengenezwa na binadamu,kinatokana na mahesabu ya Algorithm.
View attachment 2859855
Rudia kusoma andiko langu vizuri. Sio hivyo ambavyo walipaswa kuwa na unaona bado hawawezi kuwa na ushawishi kama waliyonayo wamagharibi au waisrael.Mkuu unaweza kuwa kweli. Sisibona hatujakbatia hayo mambo kihile ilamasikini kuliko warabu. Nasikua mwaka 1962 Dubai ilikuwa jangwa na walikuwa masikini wa kutuowa wakiokota tende( maneno ya heche) sasa mbona kila mtu anataka kwenda kuishi dubai au kutembea tu, hivyo vijiwe vya kahawa vimeshindwa kuwafanya wasiendelee kama sisi. Qatar hainna masikini. Iran ipo ktk nchi za kiteknolojia.
Mkuu unadhani upo sahihi kweli ?