Ujinga moja tu mliyonao ni kwamba wakati watu hao wanavumbua hizo kanuni uislamu haukuwepo katu na labda ndio maana waliweza kuyafanya hayo.
Shida ilikuja tu pale uislamu ulivyotambulishwa kwenye hiyo karne ya saba na ndipo watu walipolazimishwa kuachana na fikra na mitindo ya maisha waliyokuwa wakienzi na kutakiwa kufuata fikra za mtu aliyedai eti katumwa na Mungu japo bila kutoa ushahidi wowote.
Ghafla jamii ya kiarabu ikaanza kufubaa kwa kulazimishwa kutumia muda wao mwingi sana katika kufanya ibada na kuanza kuwa na tabia za majungu kwa sababu sasa hawakuwa wakijishughulisha na shughuli za kazi kama ilivyo kuwa kabla ya ujio wa Mohammed na matokeo yake jamii ikaanza kupenda kubarizi kwenye vijiwe na kunywa tangawizi.
Huu utamaduni uliyoletwa na Mohammed ambao ndio ulipewa jina la uislamu ndio imesababisha jamii ya kiarabu kupoteza fikra za kivumbuzi ambazo wamekuwa nazo kabla ya ujio wa Mohammed na endepo huyu Mohammed asingekuja basi leo hii waarabu ndio wangekuwa wakiitawala dunia kiuchumi, kijamii, kiutamaduni, kisayansi na hata kimichezo.