Bila Neymar Jr, PSG anamtoa Real Madrid mapema tu!!

Bila Neymar Jr, PSG anamtoa Real Madrid mapema tu!!

Mkuu Mimi huwa nawaangalia sana Hawa wachambuzi uchwara eti Neymar wa kawaida wakati kila kura zikipigwa yeye ni mchezaji nmba 3 kwa ubora halafu mshabiki uchwara anayehifunza kuangalia Mpira Jana anakuambia ni wakaida,Perez mwenyewe ametoa macho hapo bado mmamndenyi mmoja anakuambia ni overrate player daa,Mimi siipendi brazili wala sijawahi ishangilia PSG wala Barcelona,ila tukija kwenye ukweli tuongee ukweli Neymar ni nguzo ya PSG
Mkuu hawa ni genge la wanazi uchwara wa Argentina,yaani wao kila cha Brazil ni kibaya kuliko cha kwao.Ndo maana jamaa eti anamfananisha Neymar JR na De Maria kisa ni raia wa Argentina.Ukiandalia hata De maria kati ya wachezaji bora 10 kwa sasa hayupo,Halafu kinakuja ki puuzi fulani kinamfananisha na Neymar.Jinga sana hawa
 
Mimi Nashauri Hawa [HASHTAG]#Mods[/HASHTAG] Nyuzi za Kipumbavu Kama Hizi Wawe Wanazifuta.
 
Haahahahaha,Mpaka kalitolewa nje hakuna kalichokifanya.Nyie wanazi wa Argentina mna shida sana.
Ni chizi tu anaweza kumfananisha Neymar na De Maria.Nyie tunajua ni chuki na wivu wa kike tu unawasumbua.Sasa umejione mwenyewe jana kwamba PSG Bila Neymar ni hakuna,Hata mechi za League 1.Mechi 4 Neymar hakuwepo wameshinda 1 tu tena kwa tabu wakiwa na hicho ki De Maria kinakimbia bila akili.


Yani wewe jamaa unaichukia muno argentina. Messi umamchukia kwa sababu muargentina. Di maria unamchukia kwa sababu ni muargentina...wabrazili ndio choice yako co??? Harafu unasema washabiki wa Argentina wanachukia wabrazili dah Unafuraisha sana aise. Naona umefurahia matokeo ya jana 😛😛😛
 
mashabiki wa messi na argentina mna shida sana
 
Yani wewe jamaa unaichukia muno argentina. Messi umamchukia kwa sababu muargentina. Di maria unamchukia kwa sababu ni muargentina...wabrazili ndio choice yako co??? Harafu unasema washabiki wa Argentina wanachukia wabrazili dah Unafuraisha sana aise. Naona umefurahia matokeo ya jana 😛😛😛
Jaribu kuamndika vizuri braza,Mother tang inakusumbua,Jifunze Lugha kwanza ndo ujifunze mpira.
Mimi sina chuki na mchezaji yeyote wa Argentina mzee baba,mimi napenda kuongea ukweli wa mambo ulivyo,hata kama ni Mesi au De maria wakifanya vitu vizuri sina hiyana kuwasifia.Tofauti na nyie wanazi uchwara wa Argentina,yaani ni kuwapaisha wachezaji wenu hata kama uwezo ni mdogo.
Sasa subiri nikufundishe ni kwa nini nasema ukitoa Messi na Ronaldo,Neymar ndo mchezaji namba tatu kwa ubora duniani kwa sasa,hilo utapinga kama wewe ni lofa tu.
1.Hadi sasa Neymar ameipa tema yake ta taifa vikombe vitatu,Comfederation cup 2013,Olympic gold medal 2016 na South america U20 mwaka 2012.Na fainali zote hizi amefunga magoli ya ushindi.
2.Hadi sasa ameifungia timu ya taifa magoli 53 mechi 83,na haya yote amefanya mpaka umri wa miaka 25.
3.At the age of 26,Neymar amefunga magoli mengi kuliko Ronaldo Cr7 na Messi(NB:hapa sijasema Neymer ni bora kuliko Messi wala Ronaldo CR,usije nitolea povu).
Neymar:311 goals
Messi:295 goals
Ronaldo CR:189 goals.
Sasa mtu kama huyu unakuja kumfananisha na Sijui kina De maria ambao hata kombe la mbuzi hawajawahi beba na timu ya taifa?.
Kama una data lete hapa tupingane kwa hoja.Ila ubishi wa kijinga na matusi hauna maana kwa umri wako.
Good day.
 
Back
Top Bottom