Yani wewe jamaa unaichukia muno argentina. Messi umamchukia kwa sababu muargentina. Di maria unamchukia kwa sababu ni muargentina...wabrazili ndio choice yako co??? Harafu unasema washabiki wa Argentina wanachukia wabrazili dah Unafuraisha sana aise. Naona umefurahia matokeo ya jana πππ
Jaribu kuamndika vizuri braza,Mother tang inakusumbua,Jifunze Lugha kwanza ndo ujifunze mpira.
Mimi sina chuki na mchezaji yeyote wa Argentina mzee baba,mimi napenda kuongea ukweli wa mambo ulivyo,hata kama ni Mesi au De maria wakifanya vitu vizuri sina hiyana kuwasifia.Tofauti na nyie wanazi uchwara wa Argentina,yaani ni kuwapaisha wachezaji wenu hata kama uwezo ni mdogo.
Sasa subiri nikufundishe ni kwa nini nasema ukitoa Messi na Ronaldo,Neymar ndo mchezaji namba tatu kwa ubora duniani kwa sasa,hilo utapinga kama wewe ni lofa tu.
1.Hadi sasa Neymar ameipa tema yake ta taifa vikombe vitatu,Comfederation cup 2013,Olympic gold medal 2016 na South america U20 mwaka 2012.Na fainali zote hizi amefunga magoli ya ushindi.
2.Hadi sasa ameifungia timu ya taifa magoli 53 mechi 83,na haya yote amefanya mpaka umri wa miaka 25.
3.At the age of 26,Neymar amefunga magoli mengi kuliko Ronaldo Cr7 na Messi(
NB:hapa sijasema Neymer ni bora kuliko Messi wala Ronaldo CR,usije nitolea povu).
Neymar:311 goals
Messi:295 goals
Ronaldo CR:189 goals.
Sasa mtu kama huyu unakuja kumfananisha na Sijui kina De maria ambao hata kombe la mbuzi hawajawahi beba na timu ya taifa?.
Kama una data lete hapa tupingane kwa hoja.Ila ubishi wa kijinga na matusi hauna maana kwa umri wako.
Good day.