Kaka sisi tangu Manji avurugwe na akina Makonda Yanga iliishi kwa kutembeza bakuli na TFF ikawa Mali ya Simba. Huo ndio uliokuwa mweleka wao Yanga, hakuna kingine. Hata hivyo kumkong'ota Simba mbele ya Rais ni heshima kubwa inayosambaza maumivu makali kwa mpinzani. Ndio maana huko Simba hakuko shwari hata kidogo mpaka sasaSishangai kwasababu akili zenu mashabiki wa Yanga ni fupi fupi,hamuwazii ubingwa mnawazia Rais kuona Yanga wanavyoifunga Simba,umuhimu wa TK master ni kumpiga chenga Onyango tu,mnashangilia kununua basi la TATA,yani hayo mambo ndo ubingwa kwenu.
Kile kipigo ni upupu mkali ndani ya SimbaKaka sisi tangu Manji avurugwe na akina Makonda Yanga iliishi kwa kutembeza bakuli na TFF ikawa Mali ya Simba. Huo ndio uliokuwa mweleka wao Yanga, hakuna kingine. Hata hivyo kumkong'ota Simba mbele ya Rais ni heshima kubwa inayosambaza maumivu makali kwa mpinzani. Ndio maana huko Simba hakuko shwari hata kidogo mpaka sasa
Dah mfano ingekuwa usiku ingekuwa safi sana, wakiwa wameenda kuangalia mpira mimi nazama ndina nakwala kila kitu mpaka vijiko
Kigoma hakuna miundombinu ya kucheza mechi usiku mechi kama hii, hata hiyo mchana wana wasisi kama itaisha salama.Dah mfano ingekuwa usiku ingekuwa safi sana, wakiwa wameenda kuangalia mpira mimi nazama ndina nakwala kila kitu mpaka vijiko
Watu wanalilia vyumbani huku wakijirekodiKipigo mbele ya mkuu wa nchi utakilipizaje? Kimewaacha wafu wakizikana wenyewe.
Malengo ya timu sio kushinda mbele ya Rais,wewe haujui mpira.Kaka sisi tangu Manji avurugwe na akina Makonda Yanga iliishi kwa kutembeza bakuli na TFF ikawa Mali ya Simba. Huo ndio uliokuwa mweleka wao Yanga, hakuna kingine. Hata hivyo kumkong'ota Simba mbele ya Rais ni heshima kubwa inayosambaza maumivu makali kwa mpinzani. Ndio maana huko Simba hakuko shwari hata kidogo mpaka sasa
Kombe ni heshima lakini heshima zaidi ni kupata fursa ya kushiriki mashindano ya kimataifa. Yangà itashiriki pia msimu huu. Hivyo tabu inabaki palepale ya kufungwa mbele ya watu muhimu kitaifa.Haya sasa kamchukueni huyo mkuu wanchi awe kombe lenu sasa.
Ni kawaida kujifariji. Unajua kwanini wachezaji wa Yanga walikuwa wanavua medali baada tu ya kuvishwa? Kwa sababu ya aibu. Mlitufunga mbele ya rais sawa.. Lakini mliona mtu wa Simba akilia machozi? Tarehe 25 Nugaz alilia machoziKombe ni heshima lakini heshima zaidi ni kupata fursa ya kushiriki mashindano ya kimataifa. Yangà itashiriki pia msimu huu. Hivyo tabu inabaki palepale ya kufungwa mbele ya watu muhimu kitaifa.