Bila Rasilimali Tulizonazo,kwa Mifumo Ya Nchi Yetu,na Viongozi Wanaotuongoza Tungekuwa Nchi MASIKINI ZAIDI DUNIANI.

Bila Rasilimali Tulizonazo,kwa Mifumo Ya Nchi Yetu,na Viongozi Wanaotuongoza Tungekuwa Nchi MASIKINI ZAIDI DUNIANI.

Nedago

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
1,137
Reaction score
1,802
Wakuu, Hebu Jaribu Kufikiria Kwa
Tanzania Hii Iliyo Na Rasilimali Zote
Tulizonazo Kama,
-Madini Aina Zote&unique
-Mbuga Za Zenye Wanyama
Aina Zote.
-Tuna Gas Mfano Helium Ziwa
Rukwa Na Sea Natural Gas
-Tuna Bandari Za Kutosha Na
Tuko Na Geoposition Nzuri,
- Population Nzuri Nk

Check Hatua Za Kimaendeleo Tulizopiga Tangu Uhuru Ni Inversely Proportional Na Vast Resources Zilizopo.

Kuna Nchi Africa Tumezizidi Kila Kitu Interms Of Resources na Position,lakini Ni Either Wametuzidi Kimaendeleo Au Tuko Sawa,yaani Sisi Pamoja Na Kujidanganya Kuwa Na Peace,Lakini Hatuwezi Kuwacheka DRC Wenye Internal Civil Wars.

Katika Ukanda Wa EA Na SADC
Sisi Tuna Katiba Mbovu Kuliko Wote
Tumezidiwa Na Malawi Na Zambia,bora Na Hata Uganda.

Yote Ni Sababu Ya Uoga Wa Watanzania Kutetea Rasilimali Za Vizazi Vyetu,sisi Tunajali Leo Yetu.

Utajiri Wa Nchi Zimeachiwa Family Zilizooza Km Ya Msoga,fungu Tunaloletewa Mitaani Ni Makombo Tu Kwa Miaka 60.

Viongozi Wameoza,watu Wamebaki Kuunga Juhudi Na Kuimbishwa
"iena iena"
 
Sure mana kila kitu kinalipiwa maji,umeme, afya,elimu wananchi hawapewi kamseleleko popote tushkuru tuna rasilimali ndo wananchi wengi wanapatia kipato juu yake
 
Sure mana kila kitu kinalipiwa maji,umeme, afya,elimu wananchi hawapewi kamseleleko popote tushkuru tuna rasilimali ndo wananchi wengi wanapatia kipato juu yake
Tuna safari Ndefu Sana.

Siku KATIBA Na Democracy Vikipatikana,

Mahakama Na Bunge Vikasimama
Kama Mihimili Isiyoyumba,

Na Tume Ikawa Huru,vyama Vikawa Vinabadilisha Ndio Picha Halisi Itaonekana.
 
Kuna namna fulani ukiwa na rasilimali chache au mazingira magumu raia wanakuwa na akili kubwa mfano Singapore, Korea, Israel, Rwanda n.k
 
Back
Top Bottom