bibliatimes
Member
- May 13, 2025
- 7
- 9
Watu wengi wanajaribu kumfahamu Mungu kwa akili zao na hii imekuwa sababu ya wengi kuangukia kuzimu
watu wengi pia wamekuwa wanafanya kosa la kudhani Mungu ana akili za kibinadamu na kufikiria kuwa maamuzi yake ya kibinadamu
Mungu ni roho na anaishi ktk ulimwengu wa roho na ulimwengu wa roho una kanuni na sio mazoea
huwezi kuomba sahihi kama huna maarifa ya kuomba na hapa ndio tunahitaji Roho MTAKATIFU
Watu wengi huomba ili wapate wanachotaka na kuendelea na maisha yap na hawa huwa hawawepi maana hata wakipewa ni rahisi kupoteza wakiwa mbali na Mungu kimahusiano
Yohana 14:26
[26]Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.
But the Comforter, which is the Holy Ghost, whom the Father will send in my name, he shall teach you all things, and bring all things to your remembrance, whatsoever I have said unto you.