Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Hakuna mchezaji anayeweza kuziba pengo la CR7 kwa dunia ya sasa.Yeah CR7 ana umuhimu wake,hao wanaosema hata kabla ya CR7 madrid ilikua bora wakumbuke kuwa baada ya CR7 kuingia madrid ikawa bora zaidi
Ila upungufu wa mashabiki umeletwa na kutokusajili mshambuliaji makini wa kuziba pengo la CR7. Akija mshambuliaji matata mashabiki watarudi kama kawaida.
Usajili muhimu sana kwa madrid waliopo hawawezi ziba nafasi ya Ronaldo.
Mkuu mashabiki maandazi utawajua tu,alikuwepo Ronaldo original,Figo, Zidane,Raul wakaondoka Madrid ikabaki,leo huyo Mwanamitindo ndiyo aipunguzie umaarufu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zidane na Ronaldo original wamechukua mpaka Word cup achana na sifa za kuwa mfungaji bora Uefa kwa kufunga magoli mengi ya PenaltyKati ya hao uliowataja nani alipata CL nyingi kumfikia Ronaldo akiwa na RM?
Nani aliyekuwa mfungaji bora UEFA na La Liga kumpita Ronaldo?
Nani kashinda tuzo nyingi za FIFA na UEFA kumpita Ronaldo?
World cup mashindano ya mwezi mmoja tena mechi 8 tyu??acheni uongo angalia vipimo vya jumla ya mechi zote na mabao,vitu vingine ni Mpira umekubali tyu wala sio uboraZidane na Ronaldo original wamechukua mpaka Word cup achana na sifa za kuwa mfungaji bora Uefa kwa kufunga magoli mengi ya Penalty
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo hivi, real madrid ina mashabiki wake na ronaldo anao wa kwake.Ni mashabiki 48,466 tu waliojitokeza katika dimba la Santiago Bernabeu kushuhudia mechi ya kwanza ya msimu wa La liga kwa upande Madrid.
Mara ya mwisho kupata mahudhurio hafifu ilikuwa ni miaka kumi iliyopita msimu wa 2008-09.
Katika mechi hiyo dhidi ya Getafe, Madrid waliibuka na ushindi wa goli 2-0. Wafumania nyavu walikuwa ni D.Carvajal na G.Bale.View attachment 841839
😀.Ipo hivi, real madrid ina mashabiki wake na ronaldo anao wa kwake.
Simple tu
Zidane na Ronaldo original wamechukua mpaka Word cup achana na sifa za kuwa mfungaji bora Uefa kwa kufunga magoli mengi ya Penalty
Sent using Jamii Forums mobile app
World cup mashindano ya mwezi mmoja tena mechi 8 tyu??acheni uongo angalia vipimo vya jumla ya mechi zote na mabao,vitu vingine ni Mpira umekubali tyu wala sio ubora
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo hivi, real madrid ina mashabiki wake na ronaldo anao wa kwake.
Simple tu
kaka unamfahamu Sergio Ramos Garcia..Zidane kachukua WC 1998, kachukua Euro 2000; kajoin Madrid mwaka 2001.
Ronaldo kachukua WC mwaka 2002 July; kajoin Madrid 2002 August.
Hao wawili hawajayapatia mafanikio hapo.
Ronaldo kashinda EURO 2016 akiwa Madrid, kashinda tuzo 4 za uchezaji bora Fifa akiwa hapo, kashinda UCL 4, na tuzo kibao za ufungaji bora.
Naomba unitajie mchezaji aliyewahi kuwa na mafanikio makubwa kuliko Ronaldo akiwa na jezi ya Los Blancos.
Na uyaorodheshe hayo mafanikio.
kaka unamfahamu Sergio Ramos Garcia..
Yeye ni Moja kati ya wajezaji waliocheza R.Madrid na kuwa na mafanikio katika ngazi ya Klabu na pia Timu yake ya Taifa lake(Kombe la Dunia,Uefa Euro x 2,Kombe la Mambingwa Ulaya bila kusahau kombe la Dunia kwa ngazi ya Vilabu) unapokuja kusema atajwe mchezaji aliyewahi kupata mafanikio katika jezi ya R.Madrid sijajua unaongelea R.Madrid ipi?
Pia usisahau Mchezaji Bora wa Madrid wa muda wote ni Alfredo Stéfano Di Stéfano aliyewahi kuchukua Kombe la Ulaya kwa ngazi ya Vilabu mara 5 mfululizo...(unaruhusiwa kukosoa)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka hoja na swali lako la msingi lilikuwa "nitajie mchezaji aliyepata mafanikio katika jezi ya Madrid zaidi ya Ronaldo(cr7)" kwa hio mimi nikataja pia nikakupatia na nyongeza kutoka juu ya mchezaji bora wa Madrid wa muda wote,suala la level ya Cr7 na Ramos ni habari mpya ambayo umeileta sasa hivi.Ramos unamweka level moja na Ronaldo?
Mimi nimeweka facts zangu ambazo nimezitumia kama kigezo, hao unaowalingasha na Ronaldo wawekee sifa zao pia.
Nimezungumzia personal accolades vs teams achievement, na ndo hii post uliyoiquote.
Nenda fact to fact.
Ronaldo akiwa R Madrid;Kumbuka hoja na swali lako la msingi lilikuwa "nitajie mchezaji aliyepata mafanikio katika jezi ya Madrid zaidi ya Ronaldo(cr7)" kwa hio mimi nikataja pia nikakupatia na nyongeza kutoka juu ya mchezaji bora wa Madrid wa muda wote,suala la level ya Cr7 na Ramos ni habari mpya ambayo umeileta sasa hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Mchezaji aliyewahi kuwa mkubwa zaidi ya Timu na hata hayo mafanikia ya Cr7 unayataja akiwa R.Madrid ni sababu ya R.Madrid ni Timu kubwa kuliko Man U na Sporting Lisbon(ambapo Cr7 aliwahi kupita) maana hata kabla ya Cr7 kuja tayari Madrid ilikuwa ni Klabu bora ya Karne pia ilikuwa inaongoza kuwa ni moja Klabu yenye Mafanikio Duniani,suala la Madrid kupotea sababu ya Cr7 ndio limekuwa mjadala na Mvutano wa hapa kuhusu suala la Cr7 kufanikiwa Binafsi hilo sio Soka bali ni Ndoni au Tenisi,Kuogelea n.k ndio Michezo ambayo ni Jeshi la Mtu mmoja lakin Mchezo wa Mpira wa Miguu ndugu yangu ni mchezo w Timu huwezi kuwa Bora bila kuwa na Timu bora ndio maana Cr7 hakutaka kwenda Chievo,Lazio,Everton, Westham,n.k alichagua Juve maana anajua katika Misimu 9 iliyopita nimabingwa mara 7 kwahio uwezekano wa kuwa na wachezaji bora ni mkubwa.Ronaldo akiwa R Madrid;
Personal:
- Magoli 450 (anaongoza kwa wafungaji wa kipindi chote)
- Ballon d'Ors 4
- UEFA Best player of the year 3
- European Golden Shoes 3
- FIFA Men's Player of the year 2
- FIFA Club WC Golden Boots 2
Team:
- UCL 4
- La Liga 2
- Club WC 2
Country:
- Euro Cup 1.
Hapo ni summary ya personal na team's achievement.
Sasa kwa mtiririko huo, nitajie ni mchezaji gani kapata mafanikio zaidi ya Ronaldo ndani ya hiyo jezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani penalty inapatikanaje?hao mbona ata ya penalty waneyashindwa,ko auna strong argument ya kutoa go and sleep well.Zidane na Ronaldo original wamechukua mpaka Word cup achana na sifa za kuwa mfungaji bora Uefa kwa kufunga magoli mengi ya Penalty
Sent using Jamii Forums mobile app
FactWorld cup mashindano ya mwezi mmoja tena mechi 8 tyu??acheni uongo angalia vipimo vya jumla ya mechi zote na mabao,vitu vingine ni Mpira umekubali tyu wala sio ubora
Sent using Jamii Forums mobile app
Fact,hao ndo tunao waongelea Sasa watu kazi yao kubisha tu daaah so sad.Ipo hivi, real madrid ina mashabiki wake na ronaldo anao wa kwake.
Simple tu
FactZidane kachukua WC 1998, kachukua Euro 2000; kajoin Madrid mwaka 2001.
Ronaldo kachukua WC mwaka 2002 July; kajoin Madrid 2002 August.
Hao wawili hawajayapatia mafanikio hapo.
Ronaldo kashinda EURO 2016 akiwa Madrid, kashinda tuzo 4 za uchezaji bora Fifa akiwa hapo, kashinda UCL 4, na tuzo kibao za ufungaji bora.
Naomba unitajie mchezaji aliyewahi kuwa na mafanikio makubwa kuliko Ronaldo akiwa na jezi ya Los Blancos.
Na uyaorodheshe hayo mafanikio.