Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Tunataka na Baron d'ior,Kama wamechukua au laaaaaaah,ambao wanamzidi Cr7 mnyama kwa kulinganisha na miaka ya kuichezea hiyo kilabu,Now mchezaji wa mda wote Ni Cr7 povu ruksa.kaka unamfahamu Sergio Ramos Garcia..
Yeye ni Moja kati ya wajezaji waliocheza R.Madrid na kuwa na mafanikio katika ngazi ya Klabu na pia Timu yake ya Taifa lake(Kombe la Dunia,Uefa Euro x 2,Kombe la Mambingwa Ulaya bila kusahau kombe la Dunia kwa ngazi ya Vilabu) unapokuja kusema atajwe mchezaji aliyewahi kupata mafanikio katika jezi ya R.Madrid sijajua unaongelea R.Madrid ipi?
Pia usisahau Mchezaji Bora wa Madrid wa muda wote ni Alfredo Stéfano Di Stéfano aliyewahi kuchukua Kombe la Ulaya kwa ngazi ya Vilabu mara 5 mfululizo...(unaruhusiwa kukosoa)
Sent using Jamii Forums mobile app