Bila Ronaldo, hakuna mashabiki Real Madrid

Bila Ronaldo, hakuna mashabiki Real Madrid

Je, hili jambo linaweza kupelekea kushuka morali kwa wachezaji na kusababisha timu kufanya vibaya?

  • Ndiyo

  • Hapana


Results are only viewable after voting.
kaka unamfahamu Sergio Ramos Garcia..
Yeye ni Moja kati ya wajezaji waliocheza R.Madrid na kuwa na mafanikio katika ngazi ya Klabu na pia Timu yake ya Taifa lake(Kombe la Dunia,Uefa Euro x 2,Kombe la Mambingwa Ulaya bila kusahau kombe la Dunia kwa ngazi ya Vilabu) unapokuja kusema atajwe mchezaji aliyewahi kupata mafanikio katika jezi ya R.Madrid sijajua unaongelea R.Madrid ipi?
Pia usisahau Mchezaji Bora wa Madrid wa muda wote ni Alfredo Stéfano Di Stéfano aliyewahi kuchukua Kombe la Ulaya kwa ngazi ya Vilabu mara 5 mfululizo...(unaruhusiwa kukosoa)

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunataka na Baron d'ior,Kama wamechukua au laaaaaaah,ambao wanamzidi Cr7 mnyama kwa kulinganisha na miaka ya kuichezea hiyo kilabu,Now mchezaji wa mda wote Ni Cr7 povu ruksa.
 
Kumbuka hoja na swali lako la msingi lilikuwa "nitajie mchezaji aliyepata mafanikio katika jezi ya Madrid zaidi ya Ronaldo(cr7)" kwa hio mimi nikataja pia nikakupatia na nyongeza kutoka juu ya mchezaji bora wa Madrid wa muda wote,suala la level ya Cr7 na Ramos ni habari mpya ambayo umeileta sasa hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kweli ramos,kwa mafanikio anamzidi RONALDO are you serious?
 
Ronaldo akiwa R Madrid;

Personal:
- Magoli 450 (anaongoza kwa wafungaji wa kipindi chote)
- Ballon d'Ors 4
- UEFA Best player of the year 3
- European Golden Shoes 3
- FIFA Men's Player of the year 2
- FIFA Club WC Golden Boots 2

Team:
- UCL 4
- La Liga 2
- Club WC 2

Country:
- Euro Cup 1.

Hapo ni summary ya personal na team's achievement.

Sasa kwa mtiririko huo, nitajie ni mchezaji gani kapata mafanikio zaidi ya Ronaldo ndani ya hiyo jezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayupo
 
Hakuna Mchezaji aliyewahi kuwa mkubwa zaidi ya Timu na hata hayo mafanikia ya Cr7 unayataja akiwa R.Madrid ni sababu ya R.Madrid ni Timu kubwa kuliko Man U na Sporting Lisbon(ambapo Cr7 aliwahi kupita) maana hata kabla ya Cr7 kuja tayari Madrid ilikuwa ni Klabu bora ya Karne pia ilikuwa inaongoza kuwa ni moja Klabu yenye Mafanikio Duniani,suala la Madrid kupotea sababu ya Cr7 ndio limekuwa mjadala na Mvutano wa hapa kuhusu suala la Cr7 kufanikiwa Binafsi hilo sio Soka bali ni Ndoni au Tenisi,Kuogelea n.k ndio Michezo ambayo ni Jeshi la Mtu mmoja lakin Mchezo wa Mpira wa Miguu ndugu yangu ni mchezo w Timu huwezi kuwa Bora bila kuwa na Timu bora ndio maana Cr7 hakutaka kwenda Chievo,Lazio,Everton, Westham,n.k alichagua Juve maana anajua katika Misimu 9 iliyopita nimabingwa mara 7 kwahio uwezekano wa kuwa na wachezaji bora ni mkubwa.
NB: Kauli ya Cr7 ni Muhimu kuliko R.Madrid au Timu yoyote ndio kwangu ina ukakasi

Sent using Jamii Forums mobile app
NO REAL MADRID WITHOUT KING RONALDO (CR7) MNYAMA OF ALL THE TIME,povu ruksa na TIMU IMEKUWA NDOGO KWA MCHEZAJI KWA MARA YA KWANZA AMBAYE NI CR7 KING.
 
Sasa kweli ramos,kwa mafanikio anamzidi RONALDO are you serious?
Kaka kumbuka Suala lilikuwa R.Madrid kupotea sababu ya kumpoteza Cr7 na Mdau mmoja aliuliza kuhusu mchezaji aliyepata Mafanikio akiwa na Uzi wa Madrid zaidi ya Cr7 ndio nikampatia Sergio Ramos maana yeye amegusa makombe yoote hata ambayo Cr7 hajawahi ligusa(Kombe la Dunia).
Nnabaki na Msimamo wangu kwamba Cr7 ni moja katika Wachezaji bora katika kizazi cheku hiki lakini hawezi kuwa mkubwa kuliko Timu tena Timu kubwa kama Real Madrid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NO REAL MADRID WITHOUT KING RONALDO (CR7) MNYAMA OF ALL THE TIME,povu ruksa na TIMU IMEKUWA NDOGO KWA MCHEZAJI KWA MARA YA KWANZA AMBAYE NI CR7 KING.
Kaka Suala la udogo wa Madrid linatoka wapi? kumbuka R.Madrid ni Klabu bora ya Karne 20 ambapo imepata Mafanikio hayo hata Cr7 hajawa mchezaji wa Man U,
Licha ya Ubora na Bidii alizonazo uwanjani na nje ya uwanja lakini huwezi kuwa na hukumu ya Moja kwa moja juu ya Timu iliyoshebeni vipawa na Ukwasi wa Kifedha/ uwekezaji kama Madrid kwa kuondoka mchezaji mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Crazy Kabisa. Mafanikio ya RMA yamekuwepo kwa miongo mingi sana kabla ya Ronaldo.RMA ni timu kubwa sana huwezi kuilinganisha na mtu mmoja. Anway kwa nyie mlionza kushabikia mpira mwaka juzi lazima muwe na mawazo haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukubwa,uzuri na utajiri walionao s sababu yakufanya kubak wanapendwa na idad ileile kiongoz! Kumbuka mashabk wengne walikua wa man u. Hata ligi yenyewe nw haina thaman tena s unajua wadunia wote walikua pale? Je barca akikutana na Hyo RMD utamsimamisha Messi na Benzema au Bale?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom