mimi naitwa Issa Said Ally( sio jina langu halisi), Kwa mda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na hili jina Kwa mda mrefu Kwa sababu limekuwa likiingiliana na majina ya watu wengi. Sasa nataka kulibadilisha hili jina hapo kwenye Ally nataka kuweka jina la ukoo wetu, NZUMARI.. Au niyatumie yote manne Kwa pamoja yaani Issa Said Ally Nzumari kama ilivyo Kwa mizengo kayanza peter pinda, msaada wenu kwangu nitapita njia gani ili kujibadilisha.
NOTE: Bado nipo shule, nimechaguliwa kujiunga na kidato Cha tano mwaka huu..
Natanguliza shukrani....