bila shaka hapa ndio sehemu sahihi pa'kuweka huu uzi

mitutwe pazi

Senior Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
150
Reaction score
28
mimi naitwa Issa Said Ally( sio jina langu halisi), Kwa mda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na hili jina Kwa mda mrefu Kwa sababu limekuwa likiingiliana na majina ya watu wengi. Sasa nataka kulibadilisha hili jina hapo kwenye Ally nataka kuweka jina la ukoo wetu, NZUMARI.. Au niyatumie yote manne Kwa pamoja yaani Issa Said Ally Nzumari kama ilivyo Kwa mizengo kayanza peter pinda, msaada wenu kwangu nitapita njia gani ili kujibadilisha.

NOTE: Bado nipo shule, nimechaguliwa kujiunga na kidato Cha tano mwaka huu..
Natanguliza shukrani....
 
nenda mahakani ndiko hutapata msaada coz wao ndo watakupisha ili kubadilisha jina
 
mimi naitwa Issa Said Ally( sio jina langu halisi), Kwa mda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na hili jina Kwa mda mrefu Kwa sababu limekuwa likiingiliana na majina ya watu wengi. Sasa nataka kulibadilisha hili jina hapo kwenye Ally nataka kuweka jina la ukoo wetu, NZUMARI.. Au niyatumie yote manne Kwa pamoja yaani Issa Said Ally Nzumari kama ilivyo Kwa mizengo kayanza peter pinda, msaada wenu kwangu nitapita njia gani ili kujibadilisha.

NOTE: Bado nipo shule, nimechaguliwa kujiunga na kidato Cha tano mwaka huu..
Natanguliza shukrani....

Ndugu Ally unachotakiwa kufanya ni kufika kwa wakili aliye karibu na Mahali unapoishi ili akuandalie DEED POLL ambayo itataja majina yako aya awali na kwamba unayakana na kueleza jina lako jipya ambalo ungependa kujulikana kwalo baada ya hapo utaipeleka hiyo deed poll kwa msajili wa Nyaraka ambapo (Ofisi zake zipo Hapa Dar es Salaam)Karibu na Ofisi za Tamisemi -Magogoni ambapo zitasajiliwa na kutangazwa kwenye gazeti la serikali
 
Back
Top Bottom