Bila shaka huu siyo msimamo wa TBC

ThnkingAloud

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
546
Reaction score
564
Hbr wanajamvi,

Jana timu yetu ta Taifa pamoja na kufungwa na Morroco lakini walijitahidi kwa kadri ya uwezo waliokuwanoa.

Kitu kilichonisikitisha ni mtangazaji mmoja wa TBC kutoa maneno ya kashfa kuhusu eneo moja la nchi yetu linaloitwa Mbagala. Eneo hili nadhani liko katika mkoa wa Dar es Salaam wilaya ya Temeke.

Maneno haya ya kashfa kuhusu Mbagala aliyoyotaa huyu mtangazaji nadhani hakutumwa na Menegejimenti au Bodi ya Wakurugenzi ya TBC na kwa hiyo siyo msimamo wa TBC hata kidogo. Kama hivyo ndivyo ilivyo ninasubiri kuona Uongozi wa TBC utamchukulia hatua gani huyo mtangazaji ili iwe fundisho kwa watangazaji wengine.

Niko hapa A Town nasubiri.
 
Alisemaje
..au unafikiria wote tunanangalia TBC?
 
Stress ni mbaya sana.
Cheki sasa huyu anachoandikašŸ˜‚
 
mtoa mada anataka wachangiaj wajiongeze
 
Kwani alisemaje!? Wengine hatuna hobi na maswala ya mpira kabisaa!
 
Yule mtangazaji Huwa analazimisha kuchekesha watazamaji wa Tv tbc1 lakini hawezi, matokeo yake Huwa anajikuta anatoa vimaneno vya kukejeli na kukera wasikilizaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…