Bila Shaka: Huu Utakuwa Mwaka Wa Tanzania Kimafanikio Katika Soka Barani Africa

Bila Shaka: Huu Utakuwa Mwaka Wa Tanzania Kimafanikio Katika Soka Barani Africa

Hesabu zinawatupa Simba...
Simba wakiwa nyumbani wanashinda 2-1 au 1-0
Lakini wakitoka nje hawana lolote na hawajafunga goli ugenini.
Hii ina maana katika hatua ya robo fainali watafungwa 5-1 in agg
Football performance is dynamic...usikariri mzee baba.
 
Nipo Tz mkuu ila mambo ya Stars ishinde halafu sifa zipewe awamu ya tano hilo jambo halipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaogopa kuwapa headlines...Gazeti la Tanzanite litaandika "serikali ya JPM yatekeleza Ilani ya CCM kwa vitendo, hatimaye yaipeleka Stars AFCON".
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kama kufuzu tu tìa maji tia maji sasa uko mashindano ya AFCON si tutaēnda kuhaibika tu
 
Hamn kitu nyie mkienda ugenini ni kichapo tu tn 3+ af mkirud kwn kushnd 1 au 2-1

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ni tatizo la timu zetu nyingi za Sub-Saharan Africa ukiiondoa Mazembe....jana niliona kwenye Page ya Mamelodi Sundowns mashabiki wanalalamika timu yao kushindwa kufung\
Hahahahahah na mimi naona kuliko iwe hivyo ni bora tutoke tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora tushiriki tu mkuu kuliko kuwa Watazamaji kila Siku.
 
Back
Top Bottom