Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Mimi ni shabiki wa Simba kindaki ndaki lakini kwangu mimi natoa ushindi kwa Yanga Africans kwa asilimia 100%.
Yanga wana fitness, na vijana wana hari.
SIMBA inakata moto mapema sana ; Yanga anaweza kucheza 90min mchakamcha kwa Spirit ile ile bila kuchoka
Simba , baada ya dk 25 tu wanakuwa wameshakata moto, that moment Yanga ndio inafanya pressing .
Pia Simba haina uwezo wa comeback kama ya Yanga. SSC haina beki kisiki kama ya Yanga.
sidhan kama SSC ana striker wa kutoboa safu ya Yanga. Hakuna
Hata Gamondi, hajaichukulia hii mechi serious kivile,
Beki ya SSC ipo loose, ndani ya 30 min SSC atakuwa ameshafungwa.
In good spirit na tukiweka uchawi kando, ushindi kesho ni kwa Yanga 100%, mengine ni ubishi tu