Bila shaka kesho Yanga anaondoka na ushindi

Bila shaka kesho Yanga anaondoka na ushindi

Mechi ya leo ni draw,mikeka mingi ya watu italiwa.wanaompa yanga anashinda kama mna ela za mawazo msibet hiyo mechi
 
Salaam wakuu,

Pamoja na kuwa mchambuzi wenu mahiri hapa mjini JF ( najua wale wa kubeti, mnaelewa How nimewasidia sana kwenye ubashiri na kuweza kumfirisi muhindi.

Back to the topic
Leo mida ya saa nane usiku nimeoteswa Yanga wakishangilia mara 4 huku Simba wakiwa kuzomea na kurusha viti yani mfano zile za GOOOOOOOOOLLL Kwa vipindi vinne
So this means Simba watakandwa magoli 4.

NB: Utabiri huu lazima uwe wa kweli since ubase scientifically, & spiritually.

Picha hapo chini Ina relation Kali na kitu kitakachotokea Leo[emoji23][emoji753]View attachment 2968915
Ila bro nakukubali sana.
 
Kuna wachaMbuzi na kuna wachaMungu, nyie ni wachagani?
 
Back
Top Bottom