Bila shaka kuna kundi kubwa la wasanii linajutia uamuzi wa wao kuiunga mkono CCM

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Nimekaa nikachunguza kwa makini nimegundua kuna kundi kubwa la wasanii linajutia kuunga mkono ccm badala ya wananchi .

Hapa sana sana nawalenga haswa wale wasanii wa low class ambao walitumika kama toilet paper na kwa sasa kazi yao imekwisha wamerudi uraiani kuona hali halisi ya maisha na bila shaka wapo ambao wameshapoteza ndugu zao kupitia haya haya maandamano pia wapo wale wenye roho za huruma nafsi inawasuta namna kundi kubwa la watanzania waliokuwa wanadai haki zao za msingi kupuuzwa na mwisho wa siku kuishia kupigwa risasi na kwa walionusurika wameishia kupewa kesi ya uhaini.

Wapo ambao mpaka sasa nafsi inawasuta wanaogopa hata kupost chochote mtandaoni iwe kutoa pole au kupost mambo yao binafsi .

Kwa haraka haraka, wasanii waliojitokeza kumpongeza Samuya waziwazi sidhani kama hata wanafika 10,

Kwa wale wasanii ambao wana hofu ya Mungu na mihemko ya tamaa au kupata teuzi kugonga mwamba wengi akili zimeanza kuwarudia.

Ngoja tuendelee kuvuta subira ,itafika tu wakati tutaanza kuzungumza lugha moja maana hata kada wa ccm nao wapo waliolambwa risasi familia zao huko waliko wanalia maumivu tu mpaka sasa.
 
Tuko kwenye hatua nzuri sana. Jinsi sisi wananchi tunavyoishi kwa wasiwasi, bila kujua ni saa ngapi wasiojulikana watatunyakua, basi na wao wanatakiwa kuishi kwa hofu bila kujua ni lina watasalimiwa. Walikuwa wamefikia hatua mbaya sana sana ya kukejeli tunapotekwa au kuuawa. Hii mbinu itaifanya nchi yetu ikombolewe haraka sana. Yeyote anayeshangilia mambo ya kidhalimu ya CCM anatakiwa aishi kama digidigi na siyo wananchi wema.
 
Achilia mbali CCM

Hawa makada wa kawaida wa ccm waliona hii nchi mali yao.

Nilishawahi kushuhudia ugomvi kisa mtu alisema yeye ikifika October hatotiki maana uchaguzi huu sio huru.
 
Kwani nyie hamjafa wala kutiwa mbaroni.. ina maana nyie kumbe ndo mlikuwa mnawasakizia watoto wa watu wakaibe kwa kivuli cha kukomboa nchi huku nyie mmejifungia ndani.. sasa lengo lenu limefanikiwa kwa sasa mmerudi tena mitandaoni kujifanya nyie mna uchungu sana na waliokufa wanafiki wakubwa nyie..
 
Ndugu yangu Alwatan Maalim Ustadh Sheikh Sharif Majini alidhani risasi zinapiga wale wasiopendezwa na uongozi mbovu tu, muda huu yuko zake mbinguni anajitafunia mabikira 72 mashallah
 
Back
Top Bottom