assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
BABA WA TAIFA alipinga suala la serikali tatu kwa uhai wake wote na aliwapinga g55 mpaka leo malecela alijiharibia sn kwani nyerere alisema likipita hilo ni bora asizikwe tanzania hoja ikafa kifo cha panzi. kwa hili la warioba laiti MWL NYERERE angewauliza wananchi angepewa majibu km ya g55. kila kitu nyerere hakupenda ushauri hata edwin mtei kwenye documentary yake alisema nyerere alizarau ushauri wake ikabidi ajiuzulu, NYERERE hakufanya referendum yoyote kuhusu masuala makubwa ya nchi kuwauliza wananchi mfano kuwa na serikali mbili, kuanzisha vijiji vya ujamaa,kutoa hela za wananchi kukomboa nchi nyingine bila kuwapa sharti wakipata uhuru warudishe kwani fedha zilikuwa za wananchi,sera ya ujamaa,kutaifisha mali zote na kuwa za umma, yapo mengi ambayo kimsingi yalihitaji referendum na kwa hili la warioba na serikali tatu ni mfano hai kuthibitsha ubabe wa nyerere katika hoja nyingi zilizowaathiri wananchi