assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
- Thread starter
- #21
mm ni mtanganyika halisi sitamsahau nyerere
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi siuungi mkono muundo wa serikali tatu sio tu kwa kua hatuna sababu ya kufanya hivyo bali tutaliingiza taifa kwenye matumizi yasiyo na ulazima .
Mapato mengi sana ya taifa yanapotea kwenye gharama za uendeshaji wa serikali kuliko yanavyotumika kuwapa unafuu wananch .
Maoni yangu _kama lengo ni umoja imara wacha tuunde serikali moja imara ambayo kwa pamoja ifanye kile ambacho wananchi wangetamani kufanyiwa na serikali yao sio huu usanii wa serikali tatu ambao ukiuchunguza kwa kina hauna msaada wowote kwa mtanzania huyu aliyekata tamaa zaidi ya mipango mkakati kwa sababu za kisiasa na tusipokua makini hapa tunapigwa tobo la maana chezea usalama wa CCM weuwee.
Amueleze nini,labda amweleze watanzania wa leo wameshtuka hawataki kuburuzwamwl akifufuka leo cjui warioba atamueleza nini
Kwanza LAZIMA tujiridhishe kujua kama BABA WA TAIFA aliomba U-BABA WA TAIFA au alipewa kwa HADHI aliyoipatia nchi yake!Na ikitokea wasiojua wakapendekeza kama ulivyofanya na ikakubaliwa, tusiishie hapo...!Itabidi tuwageukie MA-DOKTA wa kichina china!Wenye Gentlemen degree ILA wanaitwa ma-daktari!Na kwa wale wenye ukakasi wa u-baba wa Taifa wa Mwalimu,itabidi wapendekeze LABDA tumwite MAMA wa Taifa!nyerere yafaa anyanganywe ubaba wa taifa
may b ur not tanzanian
Hiyo moja ipi? ni ya tanganyika ama vp?coz ni ngumu sana kuipoteza identity ya waz'br hata nyerere ilimshinda. mawaziri watakua 15 tu
Tunachotaka kuwe na watendaji wachache wenye ufanisi mzuri kuliko huu usanii wa wazi wanaotuletea kwa kudhani watanzania wote ni mazuzu mkuu wangu
Let's reflect the view of the people not their nationality jombaa .
Kuzaliwa miaka ya 80 isiwe hoja, maana kama kuzaliwa zamani ndio busara, basi si kweli! Mawazo ya ki bubu yananituma kuamini kuwa miaka si kitu kitu ni kujua mambo mengi! Mimi nahisi unakosa upeo! Hoja hapa ni udikteta wa Nyerere! Nyerere aliamini kila kitu anachokifanya ni sawa na anafanya kwa maslahi ya watu (si watanganyika na watz tu). Nyerere alikuwa mtu wa watu kama madikteta tu walivyo. Madkteta ni watu poa saana hasa mawazo yao yakiwa mazuri kwa jamii nzima. Think of Gaddafi,Hitler, Mao, Lenin nk, ni watu wa kukumbukwa saana japo ubepari na uliberali wa wapenda mashoga leo wanawapinga kwa nguvu zoteTokyo
Unaandika upumbavu wako hapa na sana ukiangalia ni watoto waliozaliwa miaka ya 80 ndio mnaandika upuuzi humu na kiingereza uchwara mnajidai wajuaji wakati ebu usitutie kichefuchefu
Binafsi siuungi mkono muundo wa serikali tatu sio tu kwa kua hatuna sababu ya kufanya hivyo bali tutaliingiza taifa kwenye matumizi yasiyo na ulazima .
Mapato mengi sana ya taifa yanapotea kwenye gharama za uendeshaji wa serikali kuliko yanavyotumika kuwapa unafuu wananch .
Maoni yangu _kama lengo ni umoja imara wacha tuunde serikali moja imara ambayo kwa pamoja ifanye kile ambacho wananchi wangetamani kufanyiwa na serikali yao sio huu usanii wa serikali tatu ambao ukiuchunguza kwa kina hauna msaada wowote kwa mtanzania huyu aliyekata tamaa zaidi ya mipango mkakati kwa sababu za kisiasa na tusipokua makini hapa tunapigwa tobo la maana chezea usalama wa CCM weuwee.
BABA WA TAIFA alipinga suala la serikali tatu kwa uhai wake wote na aliwapinga g55 mpaka leo malecela alijiharibia sn kwani nyerere alisema likipita hilo ni bora asizikwe tanzania hoja ikafa kifo cha panzi. kwa hili la warioba laiti MWL NYERERE angewauliza wananchi angepewa majibu km ya g55. kila kitu nyerere hakupenda ushauri hata edwin mtei kwenye documentary yake alisema nyerere alizarau ushauri wake ikabidi ajiuzulu, NYERERE hakufanya referendum yoyote kuhusu masuala makubwa ya nchi kuwauliza wananchi mfano kuwa na serikali mbili, kuanzisha vijiji vya ujamaa,kutoa hela za wananchi kukomboa nchi nyingine bila kuwapa sharti wakipata uhuru warudishe kwani fedha zilikuwa za wananchi,sera ya ujamaa,kutaifisha mali zote na kuwa za umma, yapo mengi ambayo kimsingi yalihitaji referendum na kwa hili la warioba na serikali tatu ni mfano hai kuthibitsha ubabe wa nyerere katika hoja nyingi zilizowaathiri wananchi

Tokyo
Unaandika upumbavu wako hapa na sana ukiangalia ni watoto waliozaliwa miaka ya 80 ndio mnaandika upuuzi humu na kiingereza uchwara mnajidai wajuaji wakati ebu usitutie kichefuchefu
nyerere yafaa anyanganywe ubaba wa taifa