THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Friends and Our Enemies,
Bila shaka madai ya Mchungaji Msigwa kuondoka na Kutimkia CCM ni Yale Yale ya siku zote ambayo makada wengine wamekuwa wanayatoa pindi tuh wanapoamua kumwaga manyanga,siyo mapya...point ni zile zile ..nakumbuka enzi zile tunasoma history swali likija Majibu ni Yale Yale,i.e Land alienation, cheap labour,lack of man power, search for new markets, abolition of slave trade etc etc etc...
So,alichokisema Msigwa ni marudio ya Episodes za nyuma tuh.
Swali ni kwamba,Je mbowe ameshindwa kabisa kutumia approach ya Puttin hata ya kufanya amendment ya katiba kumtafuta Dimitri Medvedev wake?
Tunajua Fika kuwa Wala tatizo kwake siyo kukumbatia madaraka,ila anahofu ya kwamba Je akitoka na kuachia hiko kiti chama kitakuwa salama Kuweza kuhimili Kashi kashi za CCM?
Hofu yake ya kuogopa kuachia kijiti Kwa upande mwingine inatupa picha ya kuwa hakuna Demokrasia ya kweli inayohubiriwa ndani ya chama.
Ushauri kwako Mangi,Kuna Medvedev wengi tuh ndani ya CHADEMA,TAFUTA mmoja mwenye ushawishi uanze kufanya nae exchange kama Puttin ili ujenge Imani zaidi Kwa Hiko unachokihubiri.
Unless Otherwise basi Tarajia hawa watu kama Msigwa WENGI kuondoka na kukuachia chama chako .