Bila shaka nchi ya Tanzania ina kinga kali sana

NA CORONA PIA ILITOKOMEA CHINI YA JEMEDARI JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.

Najua hautaki kumtaja Magufuli kwa sababu roho lako limejaa ufisadi mtupu.

Mungu asante kwa kutupa Magufuli, KWA HAKIKA NCHI IMEPONA KWELI KWELI.

MAJIZI na MADALALI YA CHANJO sijui yalitokomea wapi!!!?? Hatukuyaona tena tangiapo!!!
 
Hujaimention corona, hujamuweka Magufuli kwenye list ya viongozi waliopata kuiongoza hii nchi. Hii thread yako imekaa kimkakati sana. Uliona ukiiweka corona lazima utamtaja Magu, ukaona bora uvisahau vyote kwa makusudi. WEWE NI MNAFKI!
Hahahaaaa tena CORONA ndio ilikuwa kiboko kuliko yote.

Alikuja CHUMA AKAPIGA BITI MOKO TU, ANAKWAMBIA HAKUNA CHA ROKUDOWN WALA BABAAAKE NA ROKUDOWN.

MADALALI YA CHANJO YALIPOTEANA SIKUYAONA TENA HATA, NCHI IKASONGA NA MABARAKOA TUKAYATUPILIA MBALI
.


CHUMA KIKILIA NI AMRI TU NA UTIIII. [emoji3578]
 
Kati ya nchi zote ulizozitaja kuna iliyo na mwenge unaozungushwa nchi nzima kila mwaka? Hua najiuliza mantiki ya kuzungusha mwenge wa uhuru nchi nzima kila mwaka ila sasa naanza kuamini kuna kitu nyuma ya huu mwenge. Unatukinga na majanga
 
Mwenge oyeeeeeeeee
 
Kile chuma kilitumiwa kwa ajili ya kutuvushwa kwenye magonjwa
 
Bustani ya Eden ilikuwa Tanzania,,,,"Serengeti",fuvu la binadamu wa kwanza lilivumbuliwa tz,mlima mref kuliko yote upo tz,tanzanite inaptikana tz pekee,ziwa lenye kina kirefu zaidi afrika lipo tz,na wabarbaig wapo tz peke yake!!!!
Mmh hii bustani ilikuwa eneo gani ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…