Bila shaka nchi ya Tanzania ina kinga kali sana

Hata waisraeli walipata wafalme chenga, unaposema juu ya elimu nakushangaa bwana yule pasipo AIBU alifukuza wanafunzi wa kike waliopata mimba mashuleni.
Hapo sasa hao mabinti watoto wao watakuwa na elimu gani, anaunda kizazi gani.
Umezimgua aisee Bwana yule mtoto wake hakuwahi kupigwa mimba akiwa shuleni kwa hio kwa upande wake alikua sahihi Ila km wewe mwanao aliwahi kupigwa mshindo akiwa shule kisanga unakijua
 
ni katika umasikini wetu na dhiki zetu ukuu wake unadhihirika
Duuh kwa hio sasa umasikini umekua ni kitu cha kujisifia kua Bora Mungu katuumba masikini, Ila kuna sababu mfano mimi ningekua tajiri wa kutupwa sidhani hata km ningevuka miaka 30 maana hivi tu nipo kawaida nna maadui wa kutosha kila siku wananiwinda sasa ningekua tajiri wa kutupwa si ningekua nimeshaaga siku nyingi Ivan au Ginimbi
 
Kinga iliyonayo nchi ya Tanzania dhidi ya Majanga ni kali sana, hakuna nchi ya kulinganisha nayo hapa Afrika mashariki. Haijalishi janga liwe limetokea kiasili au limesababishwa na mwanadamu, nchi yetu kwa kutumia kingo za mipaka yake imetukinga sisi watoto wake.

Ukipitia twakimu kwa miaka mitano nyuma kwa nchi majirani; Mozambique, Malawi, Zambia, DRC, Burundi, Rwanda, Uganda na Kenya utanielewa kipi namanisha naposema Kinga ya nchi hii sio ya mchezo.

Kabda ya yote ngoja niwapatie tu majanga ya rejareja ambayo majirani zetu wanaishi nayo.

Mozambique - cyclone freddy 2023, cholera 2022, cyclone gombe 2022, cyclone kenneth 2019.
Malawi - cyclone freddy 2023, cholera 2022, polio 2022, ukame 2018-22, kimbunga combe.

Zambia - mafuriko, ukame 2018-2022, kipindupindu 2023.
DRC - mafuriko 2022, volcano 2021, ebola 2022, kipindupindu 2022, polio 2018, vita wenyewe kwa wenyewe. Hii nchi wakazi wake wanajua kila aina ya janga.
Burundi - mafuriko 2021, maporomoko 2020, kipindupindu 2019.
Rwanda - mafuriko 2021, upepo mkali 2021, viwavi 2017, HINI 2009
Uganda - mafuriko 2022, nzige 2019, kipindupindu 2018, ebola 2022
Kenya - mafuriko 2021, ukame 2014-23, nzige 2019, viwavi 2017, kipindupindu 2022, yelow fever 2022, dengue 2021, polio 2018. Inashangaza sana Wakenya na kingereza chote lakini bado wanahaha na kipindupindu.

Tofauti na majirani zetu enyi watanzania shuhudieni jinsi mama yetu Tanzania alivyotulinda na haya majanga.

Tanzania - alitaka kuja Jobo mwaka 2021 akapulizwa, Kenneth naye mwk 2019 alifanywa hivyo hivyo, naye jiwe akapambana na ebola na zika. Hii nchii haina mfano dunia nzima, watanzania sisi japo hatujui sisi sio wa kubezwa hata kidogo, bila shaka tuna sehemu yetu kwenye ufalme wa Mungu.

Lakini, ndugu zangu mda mwingine napatwa na mashaka kuhusiana na usalama mkubwa uliopo kwenye amani ya nchi yetu. Ukitazama kenya, Mozambique, uganda, rwanda, congo, burundi hali ni tafrani wao kwa wao wanafanyiana unyama. Na siku zote ndugu wakigombana kuna adui anayewachonganisha kwa kutumia sababu za siasa, malighafi au dini ili apate maslahi yake. Sasa mbona huyo adui hajatugombanisha mpaka leo watanzania ana mpango gani na sisi, au akishawamaliza anakuja kuishi hapa nchini kwetu.

Labda usalama huu kutoka majanga makubwa makubwa ni kutokana kuwa na nafuu ya uongozi wenye kufuata haki za kibinadamu. Hivyo kinga ni kama baraka, tumekuwa na nyerere, mwinyi, mkapa, Kikwete, Samia. Kama alivyobarikiwa Ibrahim wa Israel basi nasi huko nyuma kuna mwamba tunatembea na baraka zake. Inashangaza sana kasikazini hatari kusin hatari mangaribi hatari na mashariki wapo ndugu zetu na marafiki zetu wazanzibari na sisi tupo salama katikati. Tuwapende sana wazanzibari, ukiangalia kipindi hiki tunapata mvua ya kipimo chetu, tunafurahi , watoto wetu wanatoka nje wanaruka ruka kwenye matonye ya mvua yasio na hila yoyote ile.

Ewe mama yetu Tanzania tunakushukuru sana sisi watoto wako, ingawa tunakukwangua udongo wako na kuwapa wengine tunaomba utusamee.

Picha la kutisha kutoka shambani

Kuna watu wanalia Kwa Mungu usiku na mchana Mungu aihurumie nchi hii ,sio kwamba sisi ni special sana ni huruma za Mungu TU.
 
Tanzania ni nchi pekee dunian kila kipind cha hali ya hewa kipo kwa mwaka kwa kanda tofauti.
 
Nyerere hakuruka stage alipokuwa akiunda Taifa. Alianza na kuunda national unity. Hata wewe unapotaka kuondoa majanga kama chuki, husuda, umaskini, magonjwa, kulogana, kuendana kwa waganga katika familia(your extended family), tafuta kwanza kitu kinachoitwa unity. Ni national unity, national cohesion ndivyo vinavyoisaidia Tanzania.
Matumizi ya neno uzalendo katika vyombo vya ulinzi na usalama, katika ufanyaji kazi ndani ya serikali imeisaidia kuipunguzia Tanzania Sabotage. Jirani zetu, ukiacha majanga ya asili yasiyozuilika, kuna pia sabotage.
Janga halizuiliki lakini madhara yake yanapunguzika. Sasa kukiwa na sabotage ndani ya serikali na dola, basi madhara yatakuwa makubwa.
Pili ni maamuzi magumu yasiyohujumiwa. Mfano state inaweza ikaamua kufanyike karantini kwa watu waliopata ugonjwa. Basi hufanyika kwa ufanisi bila hujuma.
Tatu ni ujasusi wa ndani ulio imara. Unajua majanga mengine ni ya kuletewa ili tu tusumbuke, tupate tabu kama Taifa. Sasa intelligensia ikiwa kali basi husaidia katika kuepuka majanga ya yaletwayo na binadamu kama magonjwa.
Nne: Ni muundo wa utawala wa nchi kutoka juu hadi chini kabisa. Leo hii Rais akiagiza jambo mfano usafi wa mazingira, litatekelezwa hadi ngazi ya shina, balozi wa nyumba 10 kutoka Misenyi hadi Newala, Kalambo hadi Mkinga, Longido hadi Tunduma, Kigamboni hadi Manyovu, Tarakea hadi Mbamba Bay.
Upo sawa upo sawa
 
Mbona majanga yalishatupata makubwa tu?
Mfano:
Kuzama Mv bukoba mwaka 1996
Mvua za mafuriko ya Elnino mwaka 1998
Ajali ya Tren nk.
Pia kuna janga la "Jiwe" mwaka 2020 - mwaka
Ni machache na hilo la mwisho ni mfano mzuri sana juu ya utashi wa ajabu uliyonayo nchi yetu
 
Karatasi ya mpiga kura inakuwa na picha mbili,KANUSHA!
Zote zinatengewa chumba kimoja Cha kuweka alama ya vema au vyovyote.
Hivyo SSH alichaguliwa kuwa Makamu wa Rais Kwa kura zile zile alizopata yule Rais wako na baadaye Machi 19, akaapishwa kuwa Rais Kwa kura zile zile za awali alipokuwa mgombea mwenza.

Habari hii bila shaka utakuwa ni mkuki Kwa wengi
[emoji125][emoji125][emoji125]
Acha mbwembwe, huyo si raisi wa kuchaguliwa kwasasa. Yupo hapo kwa matakwa ya kikatiba tu. Muda utafika atapita kwa kuchaguliwa.
 
Umezimgua aisee Bwana yule mtoto wake hakuwahi kupigwa mimba akiwa shuleni kwa hio kwa upande wake alikua sahihi Ila km wewe mwanao aliwahi kupigwa mshindo akiwa shule kisanga unakijua
Hili swala lapaswa kuangaliwa objective, mtoto wa kike mayai yamekomaa, homoni zimepamba moto, kwa mama yetu Tanzania huu ni muda sahihi binti kubeba mimba na kuendeleza idadi, acha kuwazia artificial time ya kuwekwa darasani na sheria zilizowekwa zenye upofu wa natural biological clock.
hivyo sio jambo la ajabu binti aliyepevuka kushika mimba, a true leader should act objectively and not subjectively.
 
Kinga iliyonayo nchi ya Tanzania dhidi ya Majanga ni kali sana, hakuna nchi ya kulinganisha nayo hapa Afrika mashariki. Haijalishi janga liwe limetokea kiasili au limesababishwa na mwanadamu, nchi yetu kwa kutumia kingo za mipaka yake imetukinga sisi watoto wake.

Ukipitia twakimu kwa miaka mitano nyuma kwa nchi majirani; Mozambique, Malawi, Zambia, DRC, Burundi, Rwanda, Uganda na Kenya utanielewa kipi namanisha naposema Kinga ya nchi hii sio ya mchezo.

Kabda ya yote ngoja niwapatie tu majanga ya rejareja ambayo majirani zetu wanaishi nayo.

Mozambique - cyclone freddy 2023, cholera 2022, cyclone gombe 2022, cyclone kenneth 2019.
Malawi - cyclone freddy 2023, cholera 2022, polio 2022, ukame 2018-22, kimbunga combe.

Zambia - mafuriko, ukame 2018-2022, kipindupindu 2023.
DRC - mafuriko 2022, volcano 2021, ebola 2022, kipindupindu 2022, polio 2018, vita wenyewe kwa wenyewe. Hii nchi wakazi wake wanajua kila aina ya janga.
Burundi - mafuriko 2021, maporomoko 2020, kipindupindu 2019.
Rwanda - mafuriko 2021, upepo mkali 2021, viwavi 2017, HINI 2009
Uganda - mafuriko 2022, nzige 2019, kipindupindu 2018, ebola 2022
Kenya - mafuriko 2021, ukame 2014-23, nzige 2019, viwavi 2017, kipindupindu 2022, yelow fever 2022, dengue 2021, polio 2018. Inashangaza sana Wakenya na kingereza chote lakini bado wanahaha na kipindupindu.

Tofauti na majirani zetu enyi watanzania shuhudieni jinsi mama yetu Tanzania alivyotulinda na haya majanga.

Tanzania - alitaka kuja Jobo mwaka 2021 akapulizwa, Kenneth naye mwk 2019 alifanywa hivyo hivyo, naye jiwe akapambana na ebola na zika. Hii nchii haina mfano dunia nzima, watanzania sisi japo hatujui sisi sio wa kubezwa hata kidogo, bila shaka tuna sehemu yetu kwenye ufalme wa Mungu.

Lakini, ndugu zangu mda mwingine napatwa na mashaka kuhusiana na usalama mkubwa uliopo kwenye amani ya nchi yetu. Ukitazama kenya, Mozambique, uganda, rwanda, congo, burundi hali ni tafrani wao kwa wao wanafanyiana unyama. Na siku zote ndugu wakigombana kuna adui anayewachonganisha kwa kutumia sababu za siasa, malighafi au dini ili apate maslahi yake. Sasa mbona huyo adui hajatugombanisha mpaka leo watanzania ana mpango gani na sisi, au akishawamaliza anakuja kuishi hapa nchini kwetu.

Labda usalama huu kutoka majanga makubwa makubwa ni kutokana kuwa na nafuu ya uongozi wenye kufuata haki za kibinadamu. Hivyo kinga ni kama baraka, tumekuwa na nyerere, mwinyi, mkapa, Kikwete, Samia. Kama alivyobarikiwa Ibrahim wa Israel basi nasi huko nyuma kuna mwamba tunatembea na baraka zake. Inashangaza sana kasikazini hatari kusin hatari mangaribi hatari na mashariki wapo ndugu zetu na marafiki zetu wazanzibari na sisi tupo salama katikati. Tuwapende sana wazanzibari, ukiangalia kipindi hiki tunapata mvua ya kipimo chetu, tunafurahi , watoto wetu wanatoka nje wanaruka ruka kwenye matonye ya mvua yasio na hila yoyote ile.

Ewe mama yetu Tanzania tunakushukuru sana sisi watoto wako, ingawa tunakukwangua udongo wako na kuwapa wengine tunaomba utusamee.

Picha la kutisha kutoka shambani

Mwenyezimungu anatuepusha nayo na ndo jambo lakushukuru sana
 
Hizi hapa silaha za Mungu

1. Earthquakes
2. RAINFALLS
3. Thunderstorms
4. Fire Storms
5. Lightings

Ukiona Ardhi imepatwa na mambo haya....., basi ni wazi Mungu anakua anataka wakazi wa Ardhi ile wajitafakari na kujitafuta sana.
Kwa haya mafuriko ya Mbezi juzi inabidi wakazi wa Mbezi chini wajitafakari eeh😀😀😀 maana Prado, Renji Rover zimeenda sana na maji
 
Ukanda wa ikweta wote hauna vitu vya ajabu ajabau vinavyotekoea kadri unavyosogea mbli na ikweta ndo mambo yanazidi kuwa magumu, chunguza nchi zote zilizopitiwa na mstari wa ikweta zipo safe na vitu kama vimbunga, floods
 
Hata waisraeli walipata wafalme chenga, unaposema juu ya elimu nakushangaa bwana yule pasipo AIBU alifukuza wanafunzi wa kike waliopata mimba mashuleni.
Hapo sasa hao mabinti watoto wao watakuwa na elimu gani, anaunda kizazi gani.
Kwani kabla yake hao wazazi waliruhusiwa kurudi shule???
 
Hizi hapa silaha za Mungu

1. Earthquakes
2. RAINFALLS
3. Thunderstorms
4. Fire Storms
5. Lightings

Ukiona Ardhi imepatwa na mambo haya....., basi ni wazi Mungu anakua anataka wakazi wa Ardhi ile wajitafakari na kujitafuta sana.
Una kiwango gani Cha elimu
 
Na hiyo dp nafananisha hiyo sura na haya maneno[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo sauti ninayo ipata balaa[emoji86][emoji86][emoji86]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

DP INAFOKA AUTOMATICALLY
 
Back
Top Bottom