Bila simba imara soka la kimataifa tungelisikia kwa wenzetu tu

Kuna watu pia tunasahau kuwapa credits.uwekezaji wa kampun ya Azam media kwenye ligi yetu nao kwa kiasi kikubwa umeichangamsha sana ligi yetu na kuwa ya ushindani.ligi iliyobora hutoa timu zilizo bora
 
Kolo lini ulimfunga mwarabu kwake au unajiashua tu kama pumbu za mbuzi?
Sijui kolo ni nani ila kama unamaanisha simba,simba alimtoa zamaleki yule wa moto kwao.
 
Wala usihofu yote hayo tutayafikia na vichaka vyote mnayojifichia tutayafyeka kabsa mafanikio siku zote hayahutaji haraka sio kama wewe ulieganda kwa kuridhika na hatua uliyofikia yanga road to final save this comment
Maisha ni mchakato kaka,ukiona unapanda mhindi leo kesho unavuna,hiyo ni hatari 'ogopa'
 
Bila Manji uwekezaji kwenye Club tunge usikia kwa wenzetu.
Manji alilenga soka la ndani,Moodewji ndio amewafungua macho nyie wote, Bakhresa na GSM.Dewji aliweka wazi mpango wake na nia yake ya kuifanya simba miongoni mwa club 10 bora afrika ndani ya miaka mitano tangu alivyoanza kuwekeza na hilo limetimia,na hapo bado hajapewa timu rasmi vipi akiwa mwekezaji kamili!
 
Nani ka kwambia Manji alenge soka la ndani kwani wale wachezaji wa nje aliwasajili wa nini?

Manji alikuwa nia na malengo yake ni soka la nje na ndio maana hata mishahara mikubwa ilianza kulipwa na Manji ili kuwa vutia wachezaji wakubwa wa nje na tufanye vizuri kimataifa ndio ilikuwa dream yake. Mpaka sometimes mechi za kimataifa vingilio ilikuwa ni free kabisa.Ila waliokuwa wakisajili walimuangusha.

Manji kila siku alikuwa anaitaka timu ya Yanga ,ila akakutana na vikwazo upande wa uwekezaji.

Mo alichukua haya mapungufu mawili ya kusajili wachezaji wakubwa na kuanza michakato ya uwekezaji Simba ili awe na uhakika wa hela yake anayo itoa.

Na kuthibitisha hili katafuta intvw ya Mkasi ya Mo na Salama Jabir utaona Mo alivyo kuwa akiumia na ubovu wa Simba na kuumizwa zaidi na mafanikio ya Yanga kipindi cha Manji.Kupitia hiko kipindi ndipo michakato ikaanza, kwani baada ya hiyo intvw, Manara akaita press conference na akaliongelea hili kama msemaji wa club.
 
Kwa taarifa tu chachu ya Simba kufanya vizuri Kimataifa ilisababishwa na Yanga. Enzi hizo kabla hujaanza kufatilia Mpira nyie tulikuwa tunawaita wa MATOPENI sijui kama unajua hilo. Yanga ilikuwa ya Kimataifa. Kabla ya Nyie na Namungo hao, Yanga amecheza mara mbili makundi kombe la Shirikisho. Kwa hiyo wewe wa MATOPENI acha kujidai.
 
HUU NI UTETEZI AU UNAJIFARIJI KIDHAIFU NAMNA HIYO, YANGA HAPA ILIPOFIKIA HAIKUFIKA KWA BAHATI MBAYA NA WALA HAIKUFIKA KWA MGONGO WA MTU AU KWA MSAADA WA MTU ISIPOKUWA NI WAO WENYEWE WALIKAA CHINI NA KUJITAFUTA KUWA WAPI WALIKOKUWA WANAJIKWAA, ACHENI MANENO YA MATAKON MAZUMBUKUKU NINYI.
 
Ni kweli, ila Yanga imetufundisha mafanikio sio Robo Fainali wala kufa kiume. WE WANT MORE.
 
huo ni wazimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ukiishi kwa kuegesha utafeli tu. Simba sijui Coastal unioni tusipende sana kuishi historia bali tuangalie tuendako.

Yanga alifanya makosa yake amerekebisha anasonga. Simba alishafanya marekebisho sasa mbona anarudi nyuma?

Tuishe sasa na huko tuendako historia itupe tu funzo ya kuturekebisha tuendako.

Hivyo acha kuishi yaliyopita (maisha ya kuegesha).
 
Sijui kolo ni nani ila kama unamaanisha simba,simba alimtoa zamaleki yule wa moto kwao.
Nikumbushe matokeo ya hiyo mechi.
Simba alishinda ngapi hiyo game mpaka kumtoa Zamaleki?
 
Yanga imezaliwa 1931 na ndiyo timu yenye makombe mengi zaidi nchini. Nani ajifunze kwa mwezake hapo?
Basi itakua bila Yanga kuanzishwa mikia nao wasingepata wazo la kuanzisha timu kwahio hata hayo mawazo ya kimataifa yasingekuwepo
 
Maelezo yako mengi ila hayajaeleza alifanikiwaje kimataifa.
 
Then mkawa mnaishia kutolewa na kina township rollers hatua za awali,ndio muwe chachu ya simba,kuna msemo unasema numbers don't lie,lete namba za simba na yanga kimataifa uue game sio poroja,mimi sihitaji kukuelezea maana takwimu za simba zinajieleza.
 
Tueleze kivipi simba inarudi nyuma na yanga anasonga mbele.
 
Acha majigambo bila GSM ungekuwa hapo leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…