Bila simba imara soka la kimataifa tungelisikia kwa wenzetu tu

Maelezo yako mengi ila hayajaeleza alifanikiwaje kimataifa.
Aliattempt kwa kuwekeza pamoja na kuwalipa mishahara mikubwa hakufanikiwa nimekupa sababu why hakufanikiwa pamoja na kuwekeza hela ndefu, labda kama una majibu yako.

Naweza kusema Yanga wanarekebisha alipo shindwa Manji na ndio maana GSM katumia approach nyingine kurekebisha makosa ya Manji,ndio sababu tumeattemp mara tatu, mbili tumetoboa kwa kuingia fainali confederation na kuingia robo.
 
Kwa taarifa tu chachu ya Simba kufanya vizuri Kimataifa ilisababishwa na Yanga. Enzi hizo kabla hujaanza kufatilia Mpira nyie tulikuwa tunawaita wa MATOPENI sijui kama unajua hilo. Yanga ilikuwa ya Kimataifa. Kabla ya Nyie na Namungo hao, Yanga amecheza mara mbili makundi kombe la Shirikisho. Kwa hiyo wewe wa MATOPENI acha kujidai.

Nimesema hapo tulikuwa tunaishia makundi ambacho hujaelewa Nini. Kipindi hicho mlikuwa wa MATOPENI wewe mtoto mdogo huwezi kuelewa.
 
Sasa unauliza maswali ya kebehi una maana gani? Yanga ilipocheza na USM Alger ilikuwa ni nini? Simba ana medali gani kimataifa?
Tumeshawaambia sana kwamba simba ameshacheza kombe la shirikisho na stella abijan lakini kwasababu zenu mnazozijua hamtaki kukubali,hauna cha ajabu cha kumfundisha simba hata malengo yako na simba ni vitu viwili tofauti,wakati wewe malengo yako yalikuwa kufika hatua ya makundi simba aliweka malengo ya kufika nusu fainali.
View attachment 2917180
 
Simba wana unasaba na waarabu?? Afungwr mwarabu asikitike na kujifariji simba
 
Nilivyoona umeandika "mabadiriko" nikaacha kabisa kuendelea kusoma.
 
Hakuna medal za robo
 
Kwahiyo Stella Abijan akacheza super dhidi ya timu gani?
 
Mkiambiwa nyie ni mbumbumbu muwe mnaelewa, Haya nionyeshe medali ya CAF uliyonayo nikuonyeshe miguu ya nyoka!
 
Mkiambiwa nyie ni mbumbumbu muwe mnaelewa, Haya nionyeshe medali ya CAF uliyonayo nikuonyeshe miguu ya nyoka!
Anza wew kuonesha hiyo medali,ambayo caf imeanza kutoa kwa mashabiki wa Yanga labda useme wewe ni kibwana shomari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…