Bila Simba SC wafuatao wangekuwa wanauza matikiti kariakoo

Mdukuzii

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
2,552
Reaction score
6,422
1.Haji Manara, huyu alikuja simba amepauka kama katoka ukraine vitani, aliokotwa mitaa ya Lumumba akiwa dalali wa magari na kesi za utapeli Hans Pope akazizima

2. Senzo Mazingiza, huyu alikuja Bongo na suti moja mashavu yamesinyaa leo shavu dodo.

3.Tuisila Kisinda, Tonombe Mukoko, Azizi Ki hawa bila ya Simba kucheza kimataifa hakuna ambaye angewajua, uto wamewajua sababu ya kufuatlia game za Simba kimataifa

4. Itaendelea...
 
Halafu mkiitwa mbumbumbu mnakasirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…