Bila uchunguzi wa kisayansi tutafunga kuku: 1998 dereva wa lori alikufa

Bila uchunguzi wa kisayansi tutafunga kuku: 1998 dereva wa lori alikufa

Mkuu Getstart ukitizama maelezo ya yule dr utaona maelekezo ya pm yatakwama lakini swali la kujiuliza eneo la tukio si kuna mabaki ya hiyo kitu je hayatoshelezi ktk uchunguzi? Kama wamarekani kwa kutumia mabaki waliweza kujua kuwa kile kitank kilitengenezwa garaji gani na hiyo ni miaka zaidi ya kumi na ilopita je sisi bado hatujafikia ujuzi huo hata leo?
 
katika Uchunguzi wetu wa nani kweli wanashikiri ulipuaji wa kanisa Katoliki Arusha soma maeleze ya Mungi wa JF baada ya uchunguzi wake. Tutaunganisha dots zote mpaka tuujue ukweli. Intelligence jamii inafanaya kazi. Tumemjua Ni nani Victor alifikaje kanisa, kwa nini anahusishwa Je ni nani aliyelipua bomu na yuko wapi, Je aliondoka kwa miguu kutoka Kanisa?? Alikuwa na lafudhi gani?? Je mweusi, brown, mweupe, mchanganyiko, Je alikuwa na kofia, au ananywele. Je hakuna mtu aliyemwona akiteremka kwenye pikipiki ya Victor??

Je ni mwarabu? kwani kunabaadhi ya waarabu walioshikiliwa??? Connects dots everyone lets go......
 
Back
Top Bottom