Bila ushabiki, hebu wapange hawa 1 hadi 4 kulingana na kuzidiana ubora: Modric, Xavi, Pirlo na Iniesta

Kwa mtazamo wangu ni fair kumlinganisha Modric na Pirlo kwa sababu wanacheza eneo moja mara nyingi (hawa ni deep lying plymaker) ama waitaliano wanaita regista yaani kiungo mchezeshaji wa chini , Iniesta ni attaking midfider(box to box) , Xavi ni pure central midfielder
 
1. Pirlo, huyu wanaomzidi ni Gaucho, Zidane na Jj Okocha pekee.
2. Iniesta
3. Luka
4. Xavi ( Huyu ni mtalaam wa pass japo hakubahatika kufika level za KDB au Fabrigas).
Unataka kusema Fabrigas ni bora kuliko Xavier?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…