Bila ushabiki, hebu wapange hawa 1 hadi 5 kulingana na kuzidiana ubora: Rooney, Ibrahimovic, Et'o, Drogba na Torres

Naona Rooney alikua na majukumu mengi tofauti na hao wengine 🤔
Rooney sio striker, maisha yake yote kacheza msimu miwili tu striker, alipoondoka berbatov kabla hajakuja RVP. Rooney most of time alikua no 10 role anayo cheza Bruno Fernandez sasa hivi, pia alicheza kama midfielder ukubwani na winga/Inside forward wakati wa Ronaldo/Tevez.

Sababu alikua anafunga sana ndio maana unaona watu wana compare na striker wengine.
 
Kabisa huyu jamaa hata kiungo mkabaji alikua anacheza kwa ubora wa hali ya juu🤔
 
Hapo no.1 DIDIER YVES DROGBA WENGINE WANAFUATA, kama unataka kujua ukwel muulize CANAVARO wa Yanga, alimkaba ettoo na DROGBA mechi mbili tofauti, Anajua Kaz ya Didier
 
1.Didier Drogba
2.Samuel Ett’o
3.Zlatan Ibrahimovic (abracadabra)
4.Fernando Torres.

Rooney ni kiungo mshambuliaji, side 10.
Hana criteria ya kuwa kwenye hii list, wote hawa ni washambuliaji huwezi kumfananisha nao tutafanya makosa mno, hatutofikia muafaka hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…