Pre GE2025 Bila Uwepo wa CCM Madarakani Nchi ingekuwa Imesambaratika na Kugawanyika vipande vipande

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Wanaotarajiwa kusema hivo ni akina nani? Siasa hii
 
Comments reserved
 
C

CCM imeongoza miaka yote tupe reference ya hao viongozi wazuri hata wanne tu
Kwani wewe huwaoni. Huoni namna Daktari Samia Suluhu Hasssan anavyomiminiwa sifa kwa uongozi wake imara? Huoni namna Ulimwengu na Dunia nzima inavyomshukuru kwa kuiongoza katika matumizi ya nishati safi ya kupikia?
 
😂😂😂 Sawa
 
Hizo sifa mnatoa watu kama nyie 😂
 
Mimi huwa sihangaiki kusoma content nikishaona heading najua tu limeandika hili lijinga Tena . Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto. Jinga linalotembea
 
Hawa ndio vijana ambao, mchango wao kwa Taifa hili ni mdogo sana! Unashindwa kujenga hoja unaanza kumshambulia mtu kwa matusi! Ndio hawa wakipewa nchi itagawanyika vipande vipande! Mawazo mbadala yanaruhusiwa lakini sio kutukana,.
Bwana Lucas huwezi kumjibu mtu wa namna hiyo atakupotezea muda wako.
 
Mh sijui mwenzetu Huwa unatumia Nini kuwaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…