Bila walimu hatuwezi kufanikiwa

Bila walimu hatuwezi kufanikiwa

Sir kijangwa

Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
81
Reaction score
38
Competence based education, juhudi ziimeonekana katika kutekeleza sera hii kwa kwa vitendo kwa ujenzi mkubwa mpya wa madarasa kwa hakika Mimi pia ni shahidi mwaka wa fedha 2021/2022 madarasa mengi yamejengwa naamini uandikishaji utaongezeka kwa asilimia kubwa kwa darasa la kwanza na hata wale wanaojiunga kidato Cha kwanza wataongezeka.

Katika kutekeleza wa sera hii ni lazima kuwa wa wanafunzi wachache katika darasa angalau watoto 45-60 katika kipindi kimoja.

Kuna haja ya kuongeza idadi ya walimu wetu kwa Kila shule ilikuwe na ufanisi mkubwa katika kutekeleza sera hii, they should learn by imitation.
 
Back
Top Bottom