dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
Hakika wewe ni kila kitu katika maisha yangu
Bila wewe siwezi kuishi
Siwezi kupumua na nitakufa maramoja...hakika NAKUPENDA SANA PUA YANGU.
Li Ex langu lilikuwa linaniambia hivo, Tena kwa msisitizo kkchizi, sometimes na machozi juu!!Kuna mtu huwa ananiambia hivyo, naitafakari sana hiyo kauli maana dah naona Ni kauli ngumu sana kumwambia mtu,
By the way penda tu pua yako mwaego
Yaani unataka life..[emoji23][emoji23][emoji23]...itakuwa uliachwa wewe sio bure dah!![emoji23][emoji23]Li Ex langu lilikuwa linaniambia hivo, Tena kwa msisitizo kkchizi, sometimes na machozi juu!!
Inakaribia miez 7 nimeliacha na bado halijafa, pumbav kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuh aisee nikajua lyrics za nyimbo π€£π€£ππHakika wewe ni kila kitu katika maisha yangu
Bila wewe siwezi kuishi
Siwezi kupumua na nitakufa maramoja...hakika NAKUPENDA SANA PUA YANGU.
Yani ikisemwa na mtoto aliye kwenye teenager unaweza kumuelewa sasa Ni mtu mzima,,kumuuliza kwa undani unashindwa, sikumbuki Kama Kuna mtu niliwahi mpa hiyo kauli ya pasipo wewe siwezi kuishi,,, who are you mpaka nisiishi, mapito yangu ugumu wote nimepita pasipo kufa Yani uniache niseme na mi siwezi kuishi fyafyafyaππππ labda huyu kwa vile tuna ndoa takatifu naweza kujaribu kumwambia hivyoLi Ex langu lilikuwa linaniambia hivo, Tena kwa msisitizo kkchizi, sometimes na machozi juu!!
Inakaribia miez 7 nimeliacha na bado halijafa, pumbav kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee mara moja moja hua unabuya et?Hakika wewe ni kila kitu katika maisha yangu
Bila wewe siwezi kuishi
Siwezi kupumua na nitakufa maramoja...hakika NAKUPENDA SANA PUA YANGU.
Kubuya ni kitu gan mkuuMzee mara moja moja hua unabuya et?
Ukiona hivyo, basi ujuwe wewe ndo pua yenyeweKuna mtu huwa ananiambia hivyo, naitafakari sana hiyo kauli maana dah naona Ni kauli ngumu sana kumwambia mtu,
By the way penda tu pua yako mwaego
ππππUkiona hivyo, basi ujuwe wewe ndo pua yenyewe
Nakusakasaka sikuoni[emoji24]Kuna mtu huwa ananiambia hivyo, naitafakari sana hiyo kauli maana dah naona Ni kauli ngumu sana kumwambia mtu,
By the way penda tu pua yako mwaego
Pua ndio kila kitu...Hahahaha pua sio ya muhumu kama hamna mapafu
Kwema tu...Mzee wa pua vipi huko
Nipo mbona, uwe na siku njema na pia wiki hii ikawe ya baraka kwako,Nakusakasaka sikuoni[emoji24]
TakbirNipo mbona, uwe na siku njema na pia wiki hii ikawe ya baraka kwako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Li Ex langu lilikuwa linaniambia hivo, Tena kwa msisitizo kkchizi, sometimes na machozi juu!!
Inakaribia miez 7 nimeliacha na bado halijafa, pumbav kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]