Bila wewe siwezi kuishi

Bila wewe siwezi kuishi

Kuna mtu huwa ananiambia hivyo, naitafakari sana hiyo kauli maana dah naona Ni kauli ngumu sana kumwambia mtu,

By the way penda tu pua yako mwaego
Li Ex langu lilikuwa linaniambia hivo, Tena kwa msisitizo kkchizi, sometimes na machozi juu!!

Inakaribia miez 7 nimeliacha na bado halijafa, pumbav kabisa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani unataka life..[emoji23][emoji23][emoji23]...itakuwa uliachwa wewe sio bure dah!![emoji23][emoji23]
 
Li Ex langu lilikuwa linaniambia hivo, Tena kwa msisitizo kkchizi, sometimes na machozi juu!!

Inakaribia miez 7 nimeliacha na bado halijafa, pumbav kabisa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani ikisemwa na mtoto aliye kwenye teenager unaweza kumuelewa sasa Ni mtu mzima,,kumuuliza kwa undani unashindwa, sikumbuki Kama Kuna mtu niliwahi mpa hiyo kauli ya pasipo wewe siwezi kuishi,,, who are you mpaka nisiishi, mapito yangu ugumu wote nimepita pasipo kufa Yani uniache niseme na mi siwezi kuishi fyafyafya😂😂😂😂 labda huyu kwa vile tuna ndoa takatifu naweza kujaribu kumwambia hivyo
 
Li Ex langu lilikuwa linaniambia hivo, Tena kwa msisitizo kkchizi, sometimes na machozi juu!!

Inakaribia miez 7 nimeliacha na bado halijafa, pumbav kabisa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom