Bila ya Iran kurudi kuwa Uajemi, Mashariki ya kati itazidi kuungua

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Hii ndio ilikuwa bendera ya Iran kabla ya take over ya magaidi wa IRGC


Walipoweza kufanya mapinduzi ya itikadi yao walihakikisha kuonesha rangi zao za ukweli. Ugaidi, itikadi kali, uminyaji wa haki za binadamu, vita dhidi ya muyahudi na mmarekani, uminyaji wa uhuru wa wananchi, etc

Unaweza ukajiuliza nini haswa Iran anachotafuta katika ulimwengu huu? Ana mshutumu muyahudi na mmarekani kuwa wana minya haki za watu wa mashariki ya kati lakini wao ndio wa kwanza wa kufanya kufuru kwa wananchi wao.


Wanashutumu magharibi kwa uonevu na maafa wakati wao ndio wanaofadhili vikundi vya kigaidi vinavyo chochea maafa na tabu katika mashariki ya kati.

Vita na harakati ya Iran sio ya kupigania haki ya muislam yoyote, vita na harakati yao ni ya kupigania itikadi yao ambayo asili yake ni ugaidi na maafa dhidi ya muyahudi na mkristo.
 
kuna taarifa za ukweli kwamba viongozi wa juu wa serikali ya IRAN,pamoja na askari wote wa serikali wanavuta SKANKA!!
 
sasa kuna nchi inapenda maandamano ya maafa? chadema wenyewe wameingia mitini baada ya kuona Polisi wanafanya mazoezi, wacha Iran ifanye yake
 
Ulishawahi kubikiri? Nna mainisha ulishawahi kufanya mapenzi na binti ambaye hakuwahi kumjua mwanaume kabla yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…