Bila ya Nyerere Tanzania ingekuwa inatawaliwa na Sharia

Bila ya Nyerere Tanzania ingekuwa inatawaliwa na Sharia

dini tuliletewa tu.. hakuna haja ya kizijadili...Tulikuwa na dini zetu..
 
Sasa mikoa ya Pwani :unaichukuliaje? Pale dar chimbuko la pambano la kudai uhuru kulijaa waislam na kwenye chama pia walijaa.Wangeshika nchi hawa mapema wangewekana wao mwa wao then wangetangaza sharia waanze kubaguana
Kuna aliyekuwa na uwezo wa kupewa nchi hapo Dar? maana ukitizama wazee wenyewe karibu 98% walikuwa ni Mambululaz nadhani hadi leo British walisengejiridhisha kuwapa watu waongoze nchi... Asikudanganye mtu Kupewa nchi hujui hata kuandika labda utumie silaha na uhakikishe umeshinda vita Harakati za Uhuru hazikuanzia Dar karibu kila eneo lilikuwa na wapigania uhuru ila siri kubwa waliyokuwa nayo ni kwa kupigana vita tu maana hawakuwa na namna Nyerere alihadithia kuwa yeye ndie aliwashitua kuwa British hawakuwa wakoloni bali walipewa nchi tu kuishikilia hadi pale wananchi watakapokuwa Tayari kuongoza wao wenyewe ndipo kila sehemu ilitahamalaki na kujiunga na Tanu kazi ya Nyerere haina mfano wake.
 
Hivi Bila Nyerere hao Waislam wangekuwa wanatawala Pwani au wapi maana Kaskazini ingekuwa huru kivyake
 
Back
Top Bottom