Bila ya unafiki wala chuki nasema Aslay sasa hivi kijana huyu anakukimbiza

Bila ya unafiki wala chuki nasema Aslay sasa hivi kijana huyu anakukimbiza

aslay sijui anakwama wapi siku hizi.. mbosso moto umewaka kweli kweli siku si nyingi atakuwa moja ya tegemeo wcb akiendelea na kasi hii
tatizo la aslay uwezo wake pale ndipo ulipoishia, nyimbo zooooote zinafanana, anakinaisha
 
Utakubali by MBOSSO one day yes time will tell
Hahaaaahaaa!!usilazimishe mbosso kwa kua wampendaa

Mimi wasanii wangu ni aslay,Ben pol na Barnabas hao wengine Mimi siwajui!!!

Napenda mziki mzuri sio ushabikk
 
Kushindwa kubadilika huko ndo kufeli Sasa ,ko mpaka now aslay atunae Tena kwenye game maybe beka flavour,but nayeye anavyoimba Kama chereani ya sabufa atuna Budi kusema MBOSSO ndo mtemi wao from now
me Enock Bella mbona hamnitajitaji jamani
 
Wimbo ni Wa Kawaida aaaaaaaaaaaa eeeeeee nyingi znaboa
 
Back
Top Bottom