Kwako wewe sio kwangu!!!Anashindwa kujaza kwenye korido afu useme anajua may be useme 2017 ndo alikuwa anajua but now is empty bottle
tatizo la aslay uwezo wake pale ndipo ulipoishia, nyimbo zooooote zinafanana, anakinaishaaslay sijui anakwama wapi siku hizi.. mbosso moto umewaka kweli kweli siku si nyingi atakuwa moja ya tegemeo wcb akiendelea na kasi hii
Enock jeNilikuwa namkubali sana Maromboso kuliko Mbosso.
Beka flavour hana promo tu na Aslay anajua sana ila angejitahidi akabadilika na kuchanganya aina ya muziki anaofanya.
Mbosso bado sijamuelewa mpaka leo.
Utakubali by MBOSSO one day yes time will tellKwako wewe sio kwangu!!!
Hahaaaahaaa!!usilazimishe mbosso kwa kua wampendaaUtakubali by MBOSSO one day yes time will tell
me Enock Bella mbona hamnitajitaji jamaniKushindwa kubadilika huko ndo kufeli Sasa ,ko mpaka now aslay atunae Tena kwenye game maybe beka flavour,but nayeye anavyoimba Kama chereani ya sabufa atuna Budi kusema MBOSSO ndo mtemi wao from now
Aaaaaaaaah kumbe uko kinazi zaidi ok.Hahaaaahaaa!!usilazimishe mbosso kwa kua wampendaa
Mimi wasanii wangu ni aslay,Ben pol na Barnabas hao wengine Mimi siwajui!!!
Napenda mziki mzuri sio ushabikk
Byeee!!Aaaaaaaaah kumbe uko kinazi zaidi ok.
Ndo umetoka usingizini nini?Hata kwanini hawezi huyo dogo huko WCB wamekalia kurogana tu
You tooByeee!!
Dogo anajua basi tu ila Aslay anajua kama vyoteee...!!yaani haka katoto hapanaHata kwanini hawezi huyo dogo huko WCB wamekalia kurogana tu
nani sauti ya nne ?? uyo ni jipuEnock je