Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Jul 9, 2022 #1 Baadhi ya hotuba katika maziko ya Shekh Bilal Rehani Waikela Msikiti wa Kichangani: Your browser is not able to display this video.
Baadhi ya hotuba katika maziko ya Shekh Bilal Rehani Waikela Msikiti wa Kichangani: Your browser is not able to display this video.
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Jul 11, 2022 #2 Mohamed Said said: Baadhi ya hotuba katika maziko ya Shekh Bilal Rehani Waikela Msikiti wa Kichangani: Click to expand... ..Sheikh Mohamed Said risala aliyosoma Bilal Waikela mbele ya Mwalimu Nyerere ilihifadhiwa? ..unaweza kui-post hapa Jamii Forums ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vijavyo? ..natanguliza shukrani.
Mohamed Said said: Baadhi ya hotuba katika maziko ya Shekh Bilal Rehani Waikela Msikiti wa Kichangani: Click to expand... ..Sheikh Mohamed Said risala aliyosoma Bilal Waikela mbele ya Mwalimu Nyerere ilihifadhiwa? ..unaweza kui-post hapa Jamii Forums ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vijavyo? ..natanguliza shukrani.
Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Jul 11, 2022 Thread starter #3 JokaKuu said: ..Sheikh Mohamed Said risala aliyosoma Bilal Waikela mbele ya Mwalimu Nyerere ilihifadhiwa? ..unaweza kui-post hapa Jamii Forums ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vijavyo? ..natanguliza shukrani. Click to expand... JK, Risala hii haipo katika Nyaraka za Waikela wala za Tewa Said Tewa. Lakini nimeweza kupata yote muhimu yaliyokuwa katika risala ile. Waikela aliniambia kuwa baada ya kumaliza kusoma risala ile yeye alikuwa na yake aliyotaka kumweleza Nyerere. Haya mimi nimeyajumuisha katika rsala na yapo katika kitabu cha Abdul Sykes. Haya yalikuwa maneno makali sana na yalihusu juhudi na mchango wa Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
JokaKuu said: ..Sheikh Mohamed Said risala aliyosoma Bilal Waikela mbele ya Mwalimu Nyerere ilihifadhiwa? ..unaweza kui-post hapa Jamii Forums ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vijavyo? ..natanguliza shukrani. Click to expand... JK, Risala hii haipo katika Nyaraka za Waikela wala za Tewa Said Tewa. Lakini nimeweza kupata yote muhimu yaliyokuwa katika risala ile. Waikela aliniambia kuwa baada ya kumaliza kusoma risala ile yeye alikuwa na yake aliyotaka kumweleza Nyerere. Haya mimi nimeyajumuisha katika rsala na yapo katika kitabu cha Abdul Sykes. Haya yalikuwa maneno makali sana na yalihusu juhudi na mchango wa Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.