Bilal Waikela ni nani?

Allah akulipe na akuwezeshe zaidi na zaidi InshaAllah.
Mwanamageuko,
Umeandika kuwa Nyerere alijificha kuandika katiba.
Naamini umekusudia katiba ya TANU.

Katiba ya TANU haikuandikwa na mtu yeyote katika viongozi wa TAA.

Viongozi wa TAA walikopi katiba ya TANU kutoka katiba ya Convention
Peoples Party (CPP) ya Kwame Nkrumah wa Ghana.

Mahali palipoandikwa CPP walifuta wakaweka TANU.
 
Utamaduni wenu unaosema ni tofauti na huo wa hao unaona wameubeba kutoka ng'ambo ni upi?:usikwepe swali
Utamadunibwa Ukristo na Uislamu sina.

Una mengi mazuri lakinibkimsingi ni potofu katikabkuamini kuwepo kwa Mungu asiyekuwepo.

Kwa nini unafikiri nakwepa swali? Kama wewe hujajua kuuliza vizuri ukaeleweka nisipokujibubunavyotaka sijakwepa swali.

S8na tabia ya kukwepa swali.

Ukiniuliza nitakujibu ninavyojua au kama sijui nitakwambia sijui. Sijui ni jibu pia.

Ukiniambia nakwepa swali naona umenidharau na kunivunjia heshima.

Sijawahi kukwepa swali ambalo halijafika kuninyenga faragha yangu.

Na hata hilo la kuninyenga faragha yangu sitalikwepa, nitakwambia hili linaninyenga faragha yangu na mtu mwenye staha zake hawezi kulijibu.
 
Very interesting....

Ila sijui niseme Nyerere was smart enough kuwa trick waungwana wa hapo Dar es salaam na wengine au vipi?

Kwa mujibu wa maelezo ya jamaa Nyerere alikua wakuja tu but smart enough mpaka kupewa uongozi na bwana Skyes na kwenda UN kudai uhuru.

Jamaa anaendelea mbele kuulizia hatima ya uislamu itakuaje lakini anafungwa mdomo kupitia mgogoro wa India na Pakistan.

Kama tunawalaumu viongozi wa nchi kwa hapa tulipo kuingia mikataba isiyotunufaisha basi nafikiri waislamu wana kila sababu kuwalaumu hawa jamaa kwa hali ya uislamu ilivyo.

They should stop complain about Nyerere kwasababu wao ndio walioweka makubaliano nae tena yasiyo yakuandikishana so kwa namna moja au nyingi tunaweza sema They fooled uislamu kwa kuzidiwa "ujanja" na Nyerere. Wanapaswa kukiri hilo kuwaomba waislamu msamaha.
 
Ningetamani sana kama maelezo ya mwanzo yangekua namna hii (Unataja jina la mtu na alikua nani bila kutaja dini yake) ingekua imekaa kihistoria zaidi.
 
Tutambuane kwa majina na vyeo bila kujua dini yako wala kabila. Kinachoudhi na kuogopesha watu ni mambo yanayowakumba majirani zetu wa nchi nyingi kwa kua "Fulani ni muislamu na Fulani ni mkristo au Fulani ni mkikuyu na fulani ni masai" kuna aina za matabaka ambayo sio mazuri katika jamii, ingekua afadhali tubaki na tabaka la have and have not haya mengine yawekwe katika nafsi zetu.

Tungejadili hii mada kama historia ya kisiasa ingekua afadhali ssana.
 
K...
Hakuna anaelalamika.

Mimi nilikuja kusasahihisha historia ya TANU iliyoandikwa na Chuo Cha Kivukoni.

Nilifanya hivi kwa nia ya kuwapa heshima wazee wangu ili kizazi kijacho kitambue mchango wao.

Katika hili hakuna suala la hawa wazee kuomba msamaha kwa yeyote awaye yule.

Wamemtoa mkoloni Tanganyika na hii inatosha sana.
 
Ningetamani sana kama maelezo ya mwanzo yangekua namna hii (Unataja jina la mtu na alikua nani bila kutaja dini yake) ingekua imekaa kihistoria zaidi.
Billy...usikutishe Uislam kuwa unapotajwa unaona bora usingetajwa hiyo ndiyo historia yenyewe.

Ilikuwapo Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika katika TANU. Alikuwapo katibu wake Ali Mwinyi Tambwe katika TANU. Alikuwapo Idd Faiz Mafungo mweka hazina wa AlJamiatul Islamiyya katika TANU. Alikuwapo Mufti Sheikh Hassan bin Ameir katika TANU nk. nk. Hii ndiyo historia yenyewe na hawa walimchagua Nyerere Mkatoliki kuongoza mapambano dhidi ya Muingereza. Huu ndiyo ukweli wa historia ya nchi yetu. Usitishike.
 
Dah mkuu una elimu gani? Mbona unazunguka? Swali mbona halijafingwa, nataka uniambie huo utamaduni wenu ni upi ambao unataka watu waufate na waachane na utamaduni wa kiislam na wa kikristo? Utamaduni wa mtanzania ni upi?
 
Dah mkuu una elimu gani? Mbona unazunguka? Swali mbona halijafingwa, nataka uniambie huo utamaduni wenu ni upi ambao unataka watu waufate na waachane na utamaduni wa kiislam na wa kikristo? Utamaduni wa mtanzania ni upi?
Nimekwambia utamaduni wangu (sio wetu, wangu, sitaki uzushi wa kuwasemea wengine) ni kutafuta ukweli.

Hata Utamaduni wa Mtanzani kama haupo katika ukweli siuheshimu, kwa hiyo usitake kufanya kama vile nimekuja na vita ya Waafrika na Waarabu au Wayahudi/Wazungu.

Mimi nimekuja kulinganisha uongo na ukweli.

Kama utamaduni wa Waafrika unaamini uchawi, uongo, nitausema haufai vile vile. Sitausamehe eti kwa sababu ni wa Kiafrika tu.

Sipo katika ujinga wa kukumbatia kitu cha uongo eti kwa sababu ni chetu tu, sasa kuna maana gani kuondoa uongo wa Muarabu na Myahudi halafu kuu replace na uongo wa Muafrika?

Sasa unataka nikujibu swali lako kwa jibu langu au unataka nikujibu jibu unalotaka wewe?

Ulitaka nikujibu vipi kwa mfano?

Usikariri.
 
Uislamu hautishi hata kidogo..kinachotisha ni mambo yanayotokea pale bin-adam anapojihisi yeye ni wa tabaka fulani akaanza kujiona yeye ni wa tofauti na mwingine akaanza chuki na fitna
 
Billy...unajitisha bila sababu. Historia ya TANU iliandikwa na Chuo Cha Kivukoni na kwa bahati mbaya sana na kwa makusudi waliamua kuifungamanisha na Nyerere kwa hofu kama uliyokuwanayo wewe. Mmoja wa watafiti katika jopo la waandishi sasa ni marehemu akiitwa Hassan Upeka alilitahadharisha jopo kwa kuwaeleza wenzake kuwa TANU ilianza kutoka African Association na iliasisiwa na baba yake Abdul na Abdul ndiye aliyemleta Nyerere ndani ya TAA. Akaeleza mengi ya manufaa lakini kiongozi wa jopo labda alikuwa na maelekezo maalum alikataa kumtia Abdul Sykes katika historia ya TANU na historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Naamini mengi niliyoandika hapa jamvini umeyasoma na umeijua historia ya TANU. Kitabu changu nimeandika nini Waislam wamefanya katika kupambana na dhulma za kikoloni. Kitabu kinasomwa sasa mwaka wa 20. Sijasikia kuwa kitabu hiki kimesababisha tatizo lolote. Nchi zinaingia katika vurugu ikiwa patakuwa na dhulma. Penye haki sawa fitna haipati nafasi.
 
Tena dini zenyewe bora hata zingekuwa zetu kweli.

Zote za kuletewa na meli.

Zote zina mambo tofauti sana na tamaduni zetu.

Na tumezibugia kama mtu mwenye njaa kwenye dhifa.
Hebu soma hiyo sentensi ya 3, umeandika tamaduni zangu au zetu?
 
Hebu soma hiyo sentensi ya 3, umeandika tamaduni zangu au zetu?
Zetu me, myself and I.

Kwani Allah alivyotumia wingi kusema "tumewaumba" alimaanisha nini?

Alimaanisha alikuwa na mshirika katika uumbaji?

Au Uislamu nao una utatu mtakatifu siku hizi? Mungu Baba, Mungu Muhammad na Mungu Shetani?
 
Zetu me, myself and I.

Kwani Allah alivyotumia wingi kusema "tumewaumba" alimaanisha nini?

Alimaanisha alikuwa na mshirika katika uumbaji?

Au Uislamu nao una utatu mtakatifu siku hizi? Mungu Baba, Mungu Muhammad na Mungu Shetani?
Sasa mbona unaleta mfano ambao huamini uwepo wake? Si huamini uwepo wa Mungu?
 
Sasa mbona unaleta mfano ambao huamini uwepo wake? Si huamini uwepo wa Mungu?
Kwa sababu wewe unaamini, sitakiwi kukuletea mfano ambao nauamini mimi wewe huuamini, utaniambia huuamini.

Hujawahi kusikia "immanent critique"maisha yako yote inaelekea.
 
Amekubali kwa kuona ujinga wako bila shaka (Ashakum si matus,)
Geranteeh,
Ndugu yangu hapana haja ya wewe kufanya mnakasha na huyu ndugu yetu
katika hili.

Akimtukana Allah wewe ndiyo utakuwa sababu.
Haya ni katika mafunzo ya waja wema waliotangulia.
 
Kwa sababu wewe unaamini, sitakiwi kukuletea mfano ambao nauamini mimi wewe huuamini, utaniambia huuamini.

Hujawahi kusikia "immanent critique"maisha yako yote inaelekea.
Wapi nimekuambia naamini uwepo wa mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…