Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Mwanamageuko, Madaraka bado sijamsoma, akitoa kitabu tutasoma.Mkuu Pasco msome Madaraka Nyerere anavyorudia kuandika historia kisha nayeye umuweke kwenye fungu hilohilo
Paskali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mwanamageuko, Madaraka bado sijamsoma, akitoa kitabu tutasoma.Mkuu Pasco msome Madaraka Nyerere anavyorudia kuandika historia kisha nayeye umuweke kwenye fungu hilohilo
Mwanamageuko,Allah akulipe na akuwezeshe zaidi na zaidi InshaAllah.
Utamadunibwa Ukristo na Uislamu sina.Utamaduni wenu unaosema ni tofauti na huo wa hao unaona wameubeba kutoka ng'ambo ni upi?:usikwepe swali
Ningetamani sana kama maelezo ya mwanzo yangekua namna hii (Unataja jina la mtu na alikua nani bila kutaja dini yake) ingekua imekaa kihistoria zaidi.Paskali,
Mimi babu yangu Salum Abdallah aliwekwa kizuizini na hakuwa mtu mjinga.
Alikuwa mtu barabara sana.
1947 aliongoza ''general strike,'' dhidi ya wakoloni na akafanya hivyo 1949.
1953 alikuwa akihudhuria mikutano ya siri wakipanga kuundwa kwa TANU na
katika kundi lao wakamleta Germano Pacha Dar es Salaam kuhudhuria mkutano
wa TAA 1954 ulioasisi TANU.
1955 babu yangu akaasisi Tanganyika Railway African Union (TRAU) akiwa rais
muasisi.
1960 akiwa rais wa TRAU aliongoza mgomo wa Railway uliodumu siku 82.
Hii ilikkuwa haijapatapo kutokea.
Mgomo mrefu Afrika Mashariki ulikuwa ule wa Kenya ulioongozwa na Makhan
Singh.
Babu aliingoza TRAU ikishirikiana na TANU katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Hakuwa mtu, ''mjinga mjinga,'' au wa ''mchezo mchezo.''
Alikuwa na dereva wake Msukuma tulimpa jina, ''Msloopagas.''
Hadi leo sijajua jina lake halisi lilikuwa lipi.
Babu yangu aliwekwa kizuizini kwa sababu alitofautiana na Nyerere alipotaka
viongozi wa vyama vya wafanyakazi wavunje vyama vyao pawepo na chama
kimoja nchi nzima chini ya TANU.
Katika watu waliompinga katika mkutano wa viongozi wa vyama vya wafanyakazi
uliofanyika Moshi alikuwa babu yangu Salum Abdallah.
Hii ndiyo sababu ya yeye kuwekwa kizuizini mwaka wa 1964 akisingiziwa kuwa
alikuwa mmoja wa watu waliokula njama ya kupindua serikali wakati jeshi lilipoasi
Januari 20, 1964.
Babu yangu hakuwa mjinga wala mtu wa mchezo.
Tutambuane kwa majina na vyeo bila kujua dini yako wala kabila. Kinachoudhi na kuogopesha watu ni mambo yanayowakumba majirani zetu wa nchi nyingi kwa kua "Fulani ni muislamu na Fulani ni mkristo au Fulani ni mkikuyu na fulani ni masai" kuna aina za matabaka ambayo sio mazuri katika jamii, ingekua afadhali tubaki na tabaka la have and have not haya mengine yawekwe katika nafsi zetu.Sheikh! Neno linalowauma sana ni kusikia Waislam na Uislam katika harakati za ukombozi wa Tanganyika! Wakiwasoma kina Bwana Heri na Abushiri mitima inataka kuwapasuka!! Achilia mbali Mkwawa na Kinjekitile Mashujaa wa Taifa wanaojulikana lakini utambulisho wao ukizuiwa kujulikana kwa uwazi!
Huwa najiuliza kwanini "hawa jamaa zetu" wanaumia kwa chuki na hasama pindi uislam unapotajwa je ni zile chuki wanazopandikizana ama kuna jambo jingine limejificha maana tunahimizana utaifa huku wengine wakitajwa kuwa hawana sifa!!!
K...Very interesting....
Ila sijui niseme Nyerere was smart enough kuwa trick waungwana wa hapo Dar es salaam na wengine au vipi?
Kwa mujibu wa maelezo ya jamaa Nyerere alikua wakuja tu but smart enough mpaka kupewa uongozi na bwana Skyes na kwenda UN kudai uhuru.
Jamaa anaendelea mbele kuulizia hatima ya uislamu itakuaje lakini anafungwa mdomo kupitia mgogoro wa India na Pakistan.
Kama tunawalaumu viongozi wa nchi kwa hapa tulipo kuingia mikataba isiyotunufaisha basi nafikiri waislamu wana kila sababu kuwalaumu hawa jamaa kwa hali ya uislamu ilivyo.
They should stop complain about Nyerere kwasababu wao ndio walioweka makubaliano nae tena yasiyo yakuandikishana so kwa namna moja au nyingi tunaweza sema They fooled uislamu kwa kuzidiwa "ujanja" na Nyerere. Wanapaswa kukiri hilo kuwaomba waislamu msamaha.
Billy...usikutishe Uislam kuwa unapotajwa unaona bora usingetajwa hiyo ndiyo historia yenyewe.Ningetamani sana kama maelezo ya mwanzo yangekua namna hii (Unataja jina la mtu na alikua nani bila kutaja dini yake) ingekua imekaa kihistoria zaidi.
Dah mkuu una elimu gani? Mbona unazunguka? Swali mbona halijafingwa, nataka uniambie huo utamaduni wenu ni upi ambao unataka watu waufate na waachane na utamaduni wa kiislam na wa kikristo? Utamaduni wa mtanzania ni upi?Utamadunibwa Ukristo na Uislamu sina.
Una mengi mazuri lakinibkimsingi ni potofu katikabkuamini kuwepo kwa Mungu asiyekuwepo.
Kwa nini unafikiri nakwepa swali? Kama wewe hujajua kuuliza vizuri ukaeleweka nisipokujibubunavyotaka sijakwepa swali.
S8na tabia ya kukwepa swali.
Ukiniuliza nitakujibu ninavyojua au kama sijui nitakwambia sijui. Sijui ni jibu pia.
Ukiniambia nakwepa swali naona umenidharau na kunivunjia heshima.
Sijawahi kukwepa swali ambalo halijafika kuninyenga faragha yangu.
Na hata hilo la kuninyenga faragha yangu sitalikwepa, nitakwambia hili linaninyenga faragha yangu na mtu mwenye staha zake hawezi kulijibu.
Nimekwambia utamaduni wangu (sio wetu, wangu, sitaki uzushi wa kuwasemea wengine) ni kutafuta ukweli.Dah mkuu una elimu gani? Mbona unazunguka? Swali mbona halijafingwa, nataka uniambie huo utamaduni wenu ni upi ambao unataka watu waufate na waachane na utamaduni wa kiislam na wa kikristo? Utamaduni wa mtanzania ni upi?
Uislamu hautishi hata kidogo..kinachotisha ni mambo yanayotokea pale bin-adam anapojihisi yeye ni wa tabaka fulani akaanza kujiona yeye ni wa tofauti na mwingine akaanza chuki na fitnaBilly...usikutishe Uislam kuwa unapotajwa unaona bora usingetajwa hiyo ndiyo historia yenyewe.
Ilikuwapo Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika katika TANU. Alikuwapo katibu wake Ali Mwinyi Tambwe katika TANU. Alikuwapo Idd Faiz Mafungo mweka hazina wa AlJamiatul Islamiyya katika TANU. Alikuwapo Mufti Sheikh Hassan bin Ameir katika TANU nk. nk. Hii ndiyo historia yenyewe na hawa walimchagua Nyerere Mkatoliki kuongoza mapambano dhidi ya Muingereza. Huu ndiyo ukweli wa historia ya nchi yetu. Usitishike.
Hebu soma hiyo sentensi ya 3, umeandika tamaduni zangu au zetu?Tena dini zenyewe bora hata zingekuwa zetu kweli.
Zote za kuletewa na meli.
Zote zina mambo tofauti sana na tamaduni zetu.
Na tumezibugia kama mtu mwenye njaa kwenye dhifa.
Zetu me, myself and I.Hebu soma hiyo sentensi ya 3, umeandika tamaduni zangu au zetu?
Amekubali kwa kuona ujinga wako bila shaka (Ashakum si matus,)Unakataa kwamba hizi dini ni za uongo?
Unakataa kwamba hazijaletwa kwetu na meli?
Unafikiri huyo msomi wenu Mohamed Said alivyokubali yaishe alikuwa mjinga ?
Sasa mbona unaleta mfano ambao huamini uwepo wake? Si huamini uwepo wa Mungu?Zetu me, myself and I.
Kwani Allah alivyotumia wingi kusema "tumewaumba" alimaanisha nini?
Alimaanisha alikuwa na mshirika katika uumbaji?
Au Uislamu nao una utatu mtakatifu siku hizi? Mungu Baba, Mungu Muhammad na Mungu Shetani?
Kwa sababu wewe unaamini, sitakiwi kukuletea mfano ambao nauamini mimi wewe huuamini, utaniambia huuamini.Sasa mbona unaleta mfano ambao huamini uwepo wake? Si huamini uwepo wa Mungu?
Geranteeh,Amekubali kwa kuona ujinga wako bila shaka (Ashakum si matus,)
Wapi nimekuambia naamini uwepo wa mungu?Kwa sababu wewe unaamini, sitakiwi kukuletea mfano ambao nauamini mimi wewe huuamini, utaniambia huuamini.
Hujawahi kusikia "immanent critique"maisha yako yote inaelekea.
Wewe.Wapi nimekuambia naamini uwepo wa mungu?