Shoga unaishi kimbiji nini?Bilali huyo unaemuongelea ndiyo nani katika nchi hii?
Usije tuu ukamfananisha na Governor Balali huyu ni Bilali mashauzi!Bilali huyo unaemuongelea ndiyo nani katika nchi hii?
Ngoja nikamtafute nakojua nimfahamu maana naona mapichapicha tuUsije tuu ukamfananisha na Governor Balali huyu ni Bilali mashauzi!
Sio tu gigy hata sam mwenyewe, ni siielewi especially wadada wanaokuja pale kucheza si kucheza sijui hata ni nini,ngoja tuwaachie wanaopenda kukiangalia hicho kipindi...Tokea mwaka jana niliapa kutokuangalia FNL,ni upuuzi tu sioni la maana.
Tena niliacha kipindi kile Gigy anahost show!
Uchafu mtupu
Mimi nilidhani huu ndio mda muafaka wa kufanya matangazo yake internationally lakini kakataa,wao wenyewe hawajikubali ila huko Insta wanalilia tuwakubali vipi hawa viumbe..Haki ya mungu ni shida bilali akihojiwa live na sam misago akana kwamba yeye ni shoga asema ye anapenda wanawake , video yake ilipoanza kucheza tu ikaanza kugoma kwa kweli laana hiii .....anasema anamiliki small cafe nafwaaaa vile vi mishikaki wanavyojazana mashoga na mashamkupe wa mjini wakati wanasubiri uwepe michongo ndo unaita cafe ...we bilali haaaaaaa
Anatumia jina ghan instaMimi nilidhani huu ndio mda muafaka wa kufanya matangazo yake internationally lakini kakataa,wao wenyewe hawajikubali ila huko Insta wanalilia tuwakubali vipi hawa viumbe..
Mkuu naona umevutiwa naye unataka kumfuata insAnatumia jina ghan insta
Nataka nimjue nithibitishe,, si unajua sisi matomaso mpk tuone pichMkuu naona umevutiwa naye unataka kumfuata ins
Anatumia jina ghan insta
Mbona Jamaa Ana sura pana na mapozi yanayotaka kunafanana na Le Akiliz Kubwa.Huyu mtoto japo nilikuwa simjui lakini nilivyomuona tu pale kwenye runinga nilibaini Mara moja ni tikiti maji