Bilali live on Friday Night Live Show

Bilali live on Friday Night Live Show

Shoga unaishi kimbiji nini?
Maana kama ni mjini halafu hulijui hili choko maji nitashangaa sana!
Labda kama hauko interested na habari za mujini sawa.....

Kama umejua vile, niko shamba huku Kongowe njia ya kwenda Kimbiji.

Nikifika huku usiku kutoka kazini niko hoi basi tena ni komba na wadudu tu huyo Bilali hata sina nafasi ya kumfahamu
 
Nasikia pale redio mawingu nusu ya watangazaji ni kina Bilal yaani mapunga
Hata mimi nasikiaga mkuu,umbea ni mwingi.
Itabidi memba m1 humu aliyewahi kumpakua yeyote atutoe shaka.
 
Mimi sitaki hata kumuongelea huyo Sam maana ananichefuaga anavyojichetua balaa.
Anajikuta handsome na komwe lake kama beberu....
Wanaoangalia hicho kipindi wanajiweza,si bora nipige umbea JF?
Aisee,watu mna maneno
 
Shoga unaishi kimbiji nini?
Maana kama ni mjini halafu hulijui hili choko maji nitashangaa sana!
Labda kama hauko interested na habari za mujini sawa.....
ila hilo lonjo nasikia lina ujanja wa mkasi"mbele linakata mdada akilemaa na nyuma linatiwa mifinga kama dawa"
 
ila hilo lonjo nasikia lina ujanja wa mkasi"mbele linakata mdada akilemaa na nyuma linatiwa mifinga kama dawa"
Mhhhhhh makubwa haya.
Ila lina sura chachu bwana.....khaaa!
 
Umenishtua Sana kusema BILALI use unafafanua vzr ni yupi au no nano mm namjua bilali m1 tuu kwny hii nchi
 
Mhhhhhh makubwa haya.
Ila lina sura chachu bwana.....khaaa!
Kwahiyo lingekuwa na sura ya Montel Jordan vp nifah,yaani mfano lingejukuta mahali hivi,halafu....halafu likaomba mzigo hivi,..ungelemaa kulitest?
 
Kwahiyo lingekuwa na sura ya Montel Jordan vp nifah,yaani mfano lingejukuta mahali hivi,halafu....halafu likaomba mzigo hivi,..ungelemaa kulitest?
Mungu aniepushie mbali
 
Mimi sitaki hata kumuongelea huyo Sam maana ananichefuaga anavyojichetua balaa.
Anajikuta handsome na komwe lake kama beberu....
Wanaoangalia hicho kipindi wanajiweza,si bora nipige umbea JF?
ahahaha khaa sio kwa michambo hyo, kwanza mi ndo kwanza nakisikia hapa hiko kipindi, sisikilizagi upuuzi mimi
 
Back
Top Bottom