Bilali mashauzi

Status
Not open for further replies.

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
31,415
Reaction score
38,761
Wakuu leo katika pita pita zangu nikakutana na hili jina instagram, nikakumbuka kama niliisha wahi liona sehem ngoja nicrick dah, lahaula lakwata.nikakutana na mashauzi ya kiume Mungu wangu, nikajiuliza hiv ana wazazi huyu? Wanajiskiaje?

Halafu mbona wadada wanapenda kampani na majamaa sampuli hii kuna nini hapa kati???

Kingine kuna watu mpaka wanalialika kwenye kitchen part mara kibao kata!!!, dah maskini mtoto wa watu.

Wengine wanamuweka karibu na familia zao huyu sjui hawaogopi vimelea kupandikizwa kwa watoto???

Ila kuna makamanda makauzu sana, kilichoniacha na maswali mtu anapataje uchu wa kubandua ngome ya jamaa sura nzito namna ile??? Teh teh teh teh

Yaan kuna hatua Mungu atamsamehe shetan maana tutafanya mambo ambayo hata yeye shetani hayajui.
Wazazi embu kuweni makini na mienendo ya watoto wenu inaumiza sana.
 
Mkuu kuna maovu mengine shetani anakuja kuiga huku duniani na mengine yamepitiliza hta yeye kufanya anaogopa
yaani binadamu tumepitiliza kabisa hatari sana
 
Kuna mwingine anaitwa saidi anaishi nyumba moja na muigizaji fulani mwanamke! sikumoja nipo twanga tuka kaa na huyo mdada kidogo tu jamaa katokea! Anajinadi kabisa alikuwa arabuni bwanake kamnunulia gari ana ki ecudo old model! Mi nikasema nikiwa mtoto wa hivi nam shoot afe! nilikula matusi ambayo sijawahi kuyasikia duniani nilitumia utemi tuu kumuacha jamaa alimaua (police).

Kifupi ni kwamba dunia ina mambo ya ajabu mnoo! hii mijitu ipo Mungu asaidie watoto wetu na kama kuna MENDE anayesoma hii thread Changes ianze na yeye!

Nchi zingine Gaism is a serious criminal offence Zambia tu hapo! Sisi tunashangaa tuu mitaani mtu anakwambia kabisa nyumba hii kuna shoga na ile! Na baadhi ya Ndio wanachukua hao! Sijui mwisho wake!
 
Kuona picha nimekosa cha kusema, kwani jamaa nilitaka nimjue yupoje nilimsikia redio flani hivi nikajua ni dem
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…