mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Wakuu leo katika pita pita zangu nikakutana na hili jina instagram, nikakumbuka kama niliisha wahi liona sehem ngoja nicrick dah, lahaula lakwata.nikakutana na mashauzi ya kiume Mungu wangu, nikajiuliza hiv ana wazazi huyu? Wanajiskiaje?
Halafu mbona wadada wanapenda kampani na majamaa sampuli hii kuna nini hapa kati???
Kingine kuna watu mpaka wanalialika kwenye kitchen part mara kibao kata!!!, dah maskini mtoto wa watu.
Wengine wanamuweka karibu na familia zao huyu sjui hawaogopi vimelea kupandikizwa kwa watoto???
Ila kuna makamanda makauzu sana, kilichoniacha na maswali mtu anapataje uchu wa kubandua ngome ya jamaa sura nzito namna ile??? Teh teh teh teh
Yaan kuna hatua Mungu atamsamehe shetan maana tutafanya mambo ambayo hata yeye shetani hayajui.
Wazazi embu kuweni makini na mienendo ya watoto wenu inaumiza sana.