Bilic sacked by West Ham

Bilic sacked by West Ham

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Slaven Bilic has been sacked by West Ham after leading the side to only 2 wins in 11 Premier League matches.

Source - BBC SPORTS
 
Slaven Bilic has been sacked by West Ham after leading the side to only 2 wins in 11 Premier League matches.

Source - BBC SPORTS
ni kweli bora aende ligi ya uingereza imeshinda
ila inasikitisha binafsi nilikuwa nampenda sana toka nilimuona mara ya kwanza akiwa akiifundisha croatia
 
ni kweli bora aende ligi ya uingereza imeshinda
ila inasikitisha binafsi nilikuwa nampenda sana toka nilimuona mara ya kwanza akiwa akiifundisha croatia
Ndio hivyo tena mkuu , amevuna alichopanda
 
Nitafanya sherehe kubwa sana Wenger akitimuliwa Arsenal , yule mzee anadhalilisha ulaya nzima .
kile kizee kina roho ya paka ila naona huu mwaka mgumu top 4 haipati
wanaweza kumfikiria kama atawapa ueropa ligue
 
Jamaa alianza kwa kasi sana pale westham.. ikawa inaogopeka... ila sasa hivi ndo bas tena
 
Back
Top Bottom